ukiacha wanaotukana watu na kupost picha za udhalilishaji ambayo ni kosa kisheria.kwa kuongelea au kukosoa kiongozi wa serikali au serikali yenyewe uwa najiuliza wanawezaje kuona conversetion za whatsapp!! kwa uelewa wangu mdogo kuhack whatsapp sio kitu kirahisi au wana mtambo wa kumonitor...
Yani bado tunatumia methods za colonial police za kukandamiza umma jeshi la polisi la sasa na ukoloni tofauti yao ni ss hivi tunakandamizwa na watanzania wenzetu ila jeshi na mbinu ni zile zile za kikoloni kikosi cha FFU kilianzishwa na wakoloni tumepata uhuru bado jina ni lile lile na...
Naomba kuuliza hiyo mikoa minne iliyotajwa kama ina uafadhali kwenye kipato ndo haitapewa kipaumbele kwa miradi ya maendeleo!!?? na mkoa wa pwani una sifa gani kuwepo kwenye mikoa yenye umaskini mdogo hapo kuna siasa za kuigawa nchi si kweli mwanza na umaskini kushinda manyara kuna dalili za...
nadhani hujanielewa katiba ndio sheria mama ss kama katiba iliyopo inaruhusu viongozi wa umma kufanya mambo wanavyopenda hata utunge sheria ngumu kiasi gani ya manunuzi watazidi kuiba tu, lazima iwepo katiba inayowabana viongozi wa umma kwa mfano kuwakataza kufanya biashara wawapo madarakani la...
Hutakaa usikie kafika kwenye gesi na madini akigusa tu huko hata hao wachina alioawaita marafiki wa kweli watamgeuka na yeye mwenyewe anajua kaamua kufunika kombe mwanaharamu apite angekua anataka kurekebisha hayo angebadilisha katiba toka aapishwe hajawai kuliongelea atagusaje mikataba ya ya...
hata itungwe sheria mpya ya manunuzi bila ya sheria mama ya nchi(katiba) kurekebishwa watu wataendelea kupiga dili tu sheria ya manunuzi iliyopo ni nzuri vipengele vichache ndo vinahitaji marekebisho. Swali la kujiuliza ni kina nani wanahusika na wizi kwenye manunuzi jibu ni wakuu wa idara...
google cost za kujenga nuclear reactor then convert hyo hela into ksh utelewa kwa nini ni ndoto, na hapo ni kujenga tu bado fuel cost, waste disposal cost, safety security accidents, na insuarance we unadahani kwa nn ni nchi 442 duniani zina nuclear power plant Africa hamna hata 1 ilikua South...
JPM must be careful with his style of managing because when things starts to go wrong all his subordinates will lay the blame on him since he is the only one calling all the shots, he should trust the people he appointed to do the job if he cant trust them then he is doomed
Bro kabla ya kwenda kwenye nuclear fission kwanza wameshapata kibali kutoka IAEA?? unapoteza nguvu kuwaelewesha hata kibali hawajapewa waache kuleta habari za alinacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.