imani Mbwaga
Member
- Jun 15, 2016
- 6
- 0
Tanzania ya viwanda tunayoitaka yenye kutengeneza fursa sawa za ajira kwa watanzania wenye vigezo sawa. ni lazima iwe ni matokeo ya watanzania wenyewe. Wasomi wa Taifa hili ni lazima wajitengenezee utaratibu wa kutoa mchango katika ujenzi wa taifa na si kukaa chini na kusubiri serikali iwatengeneze mazingira ya mafanikio.
Kuna tofauti ya kusubiri kufanyiwa kitu na serikali na kuwa na wajibu binafsi kwa serikali yako.
Mtu mwenye wajibu kwa taifa ni mtu anayejishughulisha na kuwa na cha kufanya ili kujenga taifa lenye uchumi wa kulinzisha.
Lakini msomi anayesubiri nchi hii impatie fursa na kumtengenezea fursa ni mtu mwenye nafasi kubwa ya kulaumu serikili inaposhindwa kutimiza matakwa yake..
Viwanda vya nchi hii vitokane na kuthamini kazi za watanzania wabunifu katika taifa letu.
www.irta.or.tz