MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
tupate orginal source ya hizo data na details kidogo, maana huwezi kupinga kwa kusikia bila kuperuzi hizo orginal sensus data
Yote kwa kweli choka mbaya, basi tu kibongobongo tunajifariji, lakini kiuhalisia hamna kitu!Tanzania yote ni masikini hakuna cha dodoma,mbeya,Dar es salam wala Arusha yenye unafuuu sehemu zote hizo vitu vingi ambavyo ni matumizi ya kawaida tuu inaonekana ni anasa...
Nchi takwimu nyingi zitolewazo huwa ni za jikoni.Ndo kusema Dodoma ninayoifahamu ina unafuu (utajiri ) kushinda Mwanza?
Nchi takwimu nyingi zitolewazo huwa ni za jikoni.Ndo kusema Dodoma ninayoifahamu ina unafuu (utajiri ) kushinda Mwanza?
Dodoma ipo taaban bin ICUNdo kusema Dodoma ninayoifahamu ina unafuu (utajiri ) kushinda Mwanza?
True comrade. Vitu vingine havihitaji uwe na degree kung'amua. Hizo takwimu ni ulongo mwingine.Dodoma ipo taaban bin ICU
Dhahabu, almas, bati, ziwa, samaki, mifugo, pamba,airport, Viwanda, reli, barabara kuu to Mara,kagera, kisumu mmh, hali ya hewa safi(equatorial climate) maskini tena!hahaha! jamaa anataka apeleke kila kitu kwao kwa kisingizio!