Sheria ingekuwa bora kama manunuzi ya serikali yangekuwa yanabase kwenye cash budget, sasa hapo mzabuni ana supply vitu pasi kujua ni lini atalipwa pesa yake. Unakuta mtu anasupply vitu kuja kulipwa ni baada ya miaka miwili, mitatu. Sasa hapo hata kile anacholipwa tyri thamani yake imeshuka, vingenevyo kuwepo kipengere kuwa baada ya kusupply unatakiwa uwe umelipwa dani ya muda fulani mfano "payment to be made 21 days after delivery " hapo tutatenda haki na kwa wazabuni, vingenevyo ni kukandamiza upande mmoja tu, na hivyo kukosa sifa ya kuwa sheria bora make sheria inapaswa kubana pande zote. Chukulia umesupply kalamu kwa sh 200 kwa bei ya soka kwa kipindi hiki halafu uje kulipwa hiyo 200 baada ya miaka 2, Je hapo kuna haki kweli?