Recent content by T.B Joshua fans

  1. T.B Joshua fans

    Video: Nimemuona Mh. Mwigulu Nchemba akisali huko Nigeria. Mungu Mkubwa, he know God

    Viongozi wetu wengi wanamtafuta Mungu, na hili ni jambo jema sana. Maana viongozi wakiwa na hofu ya Mungu basi inchi imepona. Basi nisiongee mengi sana hapa ni picha chache za viongozi wa nchi yetu na nchi zingine za africa.
  2. T.B Joshua fans

    Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

    Mungu wetu mweza wa yote anaweza kutatua hilo. Nashauri wanandoa watafute watumishi wa Mungu ili wafanyiwe maombezi. Nasema hivo maana nimeshudia wengi wakipokea muujiza wao kwa kuombewa kama ilivokuwa kwa wsnandoa hawa katika video hii.
  3. T.B Joshua fans

    Ushauri; Mkasa mfupi kuhusu familia yangu

    Kwanza nitoe pole kwako 273. Familia zetu za kiafrica zina matatizo mengi hasa migogoro ya kifamilia na ushirikina. Maranyingi matatizo haya yanapojitokea unaweza kudhani dunia nzima wewe ndio mwenye shida kuliko wote. Jambo moja tunapaswa kutambua kwamba si kila tumzaniaye kuwa ndiye chanzo...
  4. T.B Joshua fans

    Maombi yangu kwa Mh. Rais Magufuli

    Azziz Mussa nashukuru kwa post nzuri. Umezungumza jambo la muhimu sana hasa kwa kuishauri serikali kuona naomna ya kusaidia vijana. Kwa kuongezea tu:- 1. Elimu bila ajira ni sawa na bure na serikali kuwapa mikopo wanafunzi ambao baadae watakosa ajira ama watakosa maarifa ya kujiajiri ni sawa na...
  5. T.B Joshua fans

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Wanawake wengi pia wanasumbuliwa ponography, wanatamani kuachana na ponography lakini wanashindwa. Huyu dada katika video hii alipata hilo tatizo na baadae akagundua nyuma yake ni msukumo wa nguvu za giza. Suruhisho ni kutumia nguvu ya Jina la Yesu Kristo. Tizama video hii, itakusaidia kujitambua
  6. T.B Joshua fans

    Machache kuhusu filamu za ngono Marekani

    Filamu za ponography ni tatizo. Zimesababisha ndoa nyingi kuvunjika. Kibaya zaidi wengi hawajui wafanye nini ili waweze kuachana na kitendo hiki. Inawezekana kulishinda tatizo hili. Fanya maombi kwa kumtanguliza Mungu. Tizama video hii hakika hutatoka bure
  7. T.B Joshua fans

    Mapenzi yamebeba vifo

    Ndoa nyingi zinaangamia kwa kukosa nguvu mwelekeo. Wanaume wakipata pesa wanasahau familia zao. Tujifunze kitu kutoka video hii. Ndoa bila Mungu ni ndoano
  8. T.B Joshua fans

    Ushirikina katika ngono na Manii

    Mshana umeongea jambo ambalo watu wengi hawaamini lakini ukweli ni kwamba mambo haya yapo. Kuna wanawake hasa hawa wanaojiuza ambao kazi yao kubwa ni kukusanya manii za wanaume na kuzipeleka katika ulimwengu wa giza. Tizama video hii kusikia zaidi kutoka kwa dada aliyefanya kazi hio
  9. T.B Joshua fans

    20 ways masturbation can ruin your life and relationships!

    Masturbation ni tatizo kubwa kuliko kawaida. Hiki ni chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na vijana wengi wa kike na kiume kupoteza mwelekeo katika maisha. Mitandao ya kijamii kama fb, insta etc. ndio chanzo kikubwa Hebu tujifunze kitu kutoka kwa dada huyu:
  10. T.B Joshua fans

    Kwanini Rais Magufuli lazima aombewe ....

    Ni kweli tuzidi kumwombea rais wetu. Mungu hutengeneza njia pasipo na njia. Lisilowezekana na mwanadamu, linawezekana kwa Mungu. Basi ungana nami kupitia video hii kumwombea raisi wetu, kuombea nchi yetu na kujiombea wewe binafsi na jamaa zako.
  11. T.B Joshua fans

    Tabia yako ya leo ndio itakua baraka au laana kwa kizazi chako, badilika!!

    Kila tabia nyuma yake inayo nguvu. Nguvu ya tabia, hapa naongelea tabia mbaya hasa zile zinazoletea addictions haziwezi kuondolewa kwa nguvu na maarifa ya kibinadamu. Nguvu ya Mungu ina iwezo wa ajabu. Kama ukiamini kwa moyo mmoja na kumwomba Mungu ama kuombewa na watumishi wa Mungu hakuna...
  12. T.B Joshua fans

    Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

    Mungu akulinde Rais wetu.
  13. T.B Joshua fans

    Vikao vya kuzimu

    Kuzimu ipo na mawakala wa kuzimu wapo kama ilivyo mawakala wa Mbinguni. Hapa tizama uone nguvu ya Mungu ikizishinda nguvu za giza
  14. T.B Joshua fans

    Matofali 10 ya ndoa bora

    Ndoa bila Mungu ni ndoano. Kuna wakati mwanandoa anatamani kutulia na familia yake lakini msukumo wa kutenda mabaya unamshinda. Kimbilio ni kwa Mungu. Ukipata muda jifunze kitu kupitia video hii
  15. T.B Joshua fans

    Kwa walevi: Hali ipi hukutokea ukishalewa?

    Inawezekana kuacha pombe kabisa. Wengi wanajaribu kila namna lakini wanashindwa. Video hii imewasaidia wengi kuachana na pombe na Singara
Back
Top Bottom