Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

Kweli kukosa mtoto ni shida kama ilivo kilema kingine chochote, lakini kwenda kumt.o..m.b.e.sha mkeo kwa dume jingine kama unapeleka ng'ombe wako jike akapandwe ili abebe mimba ni tatizo kubwa zaidi na uzwazwa wa kiwango cha uprofesa
Sasa afanyeje jamani?
 
Ni muda kiasi nmekuwa na changamoto hii katika mahusiano na brother wangu. Ni watu wa karibu sana tunaopendana mimi ni mdogo wake wa pili. Bro toka ameoa tena kwa kuchelewa kidogo ni miaka miwili na nusu sasa. Mimi nlioa zamani kiasi na nikafanikiwa kuwa na watoto watatu. Wawil wa kiume na mmoja wa kike.

Kaka yangu amehangaika sana kutafuta mtoto. Sana. Na bahati nzuri yeye kiuwezo yupo vizuri so pesa si tatizo kwake. Lakini ameekuwa akiwambiwa kuwa hana uwezo wa kumpatia mwanamke mimba.

Yapata mwezi sasa amekuwa akinifuata na kuniomba nitembee na mkewe nimpatie ujauzito then yeye alee na mkewe. Mara ya kwanza nlidhan amelewa. Haikuwa hivyo. Alikuwa sober kabisa. Akaja akanambia tena kuwa anaomba nimpatie mimba mkewe.

Last week alikuja na mkewe home tukaongea na baadaye akaomba tutoke wote watatu na mkewe tukae tuongee jambo.huko akanambia kuwa wamekubaliana na mkewe nifanye naye mapenzi siku za kupata mimba apate mimba.shemeji yangu alionesha kukubaliana na jambo hili kwa amani kabisa.

Nikawaambia wanipe muda nifikiri.nmefikiria sana nikawaambia kama wapo serious nawapa week moja kila siku wawe wanatuma meseji kila mtu kwangu akisisitiza jambo hilo. Kweli wamefanya hivyo. So limebaki kwangu. Mke wa bro ni mzuri sana tu. Ni mke ambaye hata mimi ngeweza mwoa. So tatizo si mvuto...she is attractive and so sexy. Nawaza hili jambo nifanyeje?

Mke wangu sijawambia. Wazazi hatujawaambia. Ni mimi, bro na shemeji yangu tu ndo tunafahamu

NB: Wadau, mimi ni Mwandishi tu mwenye mkasa ni mtu mwingine.
Hhahaahahaa!!! Naona unajistukia mkuu. Ila mwambie mshukaji kwamba huyo ni kaka yake na ni dam yake so kama hawezi kutembea na shemeji yake amsaidie bro kwa njia nyingine ya kupandikiza mbegu zake poa inatosha.

Jengine ni kwamba asiwe mbeya sana jamaa hiyo ni damu yake
 
Inawezekana kabisa na ninjia nzuri kuliko shemeji aende nnje inafaa wana ndugu kukubaliani na ukamzalisha huyo shemeji yako.
 
Kama ana pesa mwambie akafanye IVF.
Kama mbegu zake zinazingua uwape zako
 
Mungu wetu mweza wa yote anaweza kutatua hilo.
Nashauri wanandoa watafute watumishi wa Mungu ili wafanyiwe maombezi.
Nasema hivo maana nimeshudia wengi wakipokea muujiza wao kwa kuombewa kama ilivokuwa kwa wsnandoa hawa katika video hii.
 
Ni muda kiasi nmekuwa na changamoto hii katika mahusiano na brother wangu. Ni watu wa karibu sana tunaopendana mimi ni mdogo wake wa pili. Bro toka ameoa tena kwa kuchelewa kidogo ni miaka miwili na nusu sasa. Mimi nlioa zamani kiasi na nikafanikiwa kuwa na watoto watatu. Wawil wa kiume na mmoja wa kike.

Kaka yangu amehangaika sana kutafuta mtoto. Sana. Na bahati nzuri yeye kiuwezo yupo vizuri so pesa si tatizo kwake. Lakini ameekuwa akiwambiwa kuwa hana uwezo wa kumpatia mwanamke mimba.

Yapata mwezi sasa amekuwa akinifuata na kuniomba nitembee na mkewe nimpatie ujauzito then yeye alee na mkewe. Mara ya kwanza nlidhan amelewa. Haikuwa hivyo. Alikuwa sober kabisa. Akaja akanambia tena kuwa anaomba nimpatie mimba mkewe.

Last week alikuja na mkewe home tukaongea na baadaye akaomba tutoke wote watatu na mkewe tukae tuongee jambo.huko akanambia kuwa wamekubaliana na mkewe nifanye naye mapenzi siku za kupata mimba apate mimba.shemeji yangu alionesha kukubaliana na jambo hili kwa amani kabisa.

Nikawaambia wanipe muda nifikiri.nmefikiria sana nikawaambia kama wapo serious nawapa week moja kila siku wawe wanatuma meseji kila mtu kwangu akisisitiza jambo hilo. Kweli wamefanya hivyo. So limebaki kwangu. Mke wa bro ni mzuri sana tu. Ni mke ambaye hata mimi ngeweza mwoa. So tatizo si mvuto...she is attractive and so sexy. Nawaza hili jambo nifanyeje?

Mke wangu sijawambia. Wazazi hatujawaambia. Ni mimi, bro na shemeji yangu tu ndo tunafahamu

NB: Wadau, mimi ni Mwandishi tu mwenye mkasa ni mtu mwingine.

NB: Wadau, mimi ni Mwandishi tu mwenye mkasa ni mtu mwingine.
IMG-20150703-WA0001.jpg
 
Wee mpuuzii,,swala LA uzuri LA mini hapoo ?eti so attractive
 
Wewe tia mimba basiiii
 
Usimle mke wa kaka yako,

brother wako moyoni baada ya hapo hatokuwa na amani nawe!.

Mwambie huyo brother atafute hela aende hospitali za fertility wakavune mbegu zake hata kama ni chache kiasi gani wazifanyie utaalam
wakampandikize mke wake, huenda Akafanikiwa

Zipo technolojia tofauti tofauti kwenye hospitali za kudeal na matatizo hayo, Mwambie jamaa atafute hela
 
Napata mashaka kwenye process nzima ya kupeana mimba je mkinogewa si ndo mtaanza kuona wenza wenu maboya,,NB mke wa mtu mtamuu
 
Sasa unapoteza muda kwa nini , tena Nakushauri utafute muda wa kumsaprise huyo shemejiyo umpe uzao maana utakuwa umemlinda nduguyo ila Fanya kama unaiba ndo itakuwa tamu.
 
Back
Top Bottom