Kwa walevi: Hali ipi hukutokea ukishalewa?

Kwa walevi: Hali ipi hukutokea ukishalewa?

Walokole mna taabu ya kukariri kifungu kimoja hebu Kumbukumbu la torati 14: 26
Nayo inasema "..na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng'ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za Bwana, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;"

[COLOR=rgba(22, 24, 27, 0.870588)][/COLOR]
 
Saa yangu ya kulala nakushukuru baba kwani umenipa mema dhambi moja nimetenda nimemaliza chupa mbili za wine lakini dhambi hii haipo kwenye kumi. Sijatukana, sijaacha kumpikia wandani msosi, sijasahau majukumu yangu na nimekukumbuka kuwa wewe ndiyo uliyeniumba. Naomba baba we kesho unipe uwezo ninunue vingine viwili na nizidi kukutukuza kupitia JF ila situkani, silewi, sisahau majukumu yangu na naona maisha ndo yanasonga. Life is too short enjoy it if you can. Mennnnnn.


hahaha chupa 2 wine gan hiyo haha we kiboko !
 
Mipango Ya hela huwa mingi na Yote inakuwa imetick lkn pombe zikiisha dili zote zinakuwa madiriaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kuacha pombe kabisa. Wengi wanajaribu kila namna lakini wanashindwa. Video hii imewasaidia wengi kuachana na pombe na Singara

 
Acheni kuifananisha monde na vitu vya ajabu ajabu... Monde ni ukamilisho wa mapungufu aliyonayo mwanadam. Tabia zako ukilewa ndio uhalisia wako. Monde makes us perfect. Enjoy the perfect moment with castle lager..
 
Mimi sio mnywaji wala mlevi wa pombe, hii ni kutokana na kuiona kero pombe kila ninapoonja huniletea matatizo, kama vile kichwa kuuma, kutapika na pombe kuchelewa kutoka mpaka siku inayofuata na kunifanya nione kero sana.

Hivyo naichukia. Sasa najiuliza, kitu gani kwa wenzangu kinawavutia kula ulabu huku kukiwa na hasara nyingi na faida chache? Kwa kawaida pombe inapoanza kukolea kwa mlevi, humletea mabadiliko yanayomfanya awe tofauti.

Wapo wengine wanajiona wenye nguvu ya kuwa wababe, wengine huwa waongeaji sana, wengine hupendelea kushika shika makalio ya wahudumu na mengine, sasa hii ndio burudani yenyewe?

Wewe mdau pombe inaposhika kasi ni furaha gani hukujia ambayo ndio burudani inayosababisha uipende pombe?
Kama hunywi unauliza kwa faida ya nani?
 
Mimi nakumbuka siku nakutana na wife wangu kwa mara ya kwanza kabla sijamuoa mwaka 2010, akiwa demu, nikiwa namchunguza kama anafaa kuoa , nilijikuta nampa mtiani mgumu bila mi kujua.

Mtiani wa kuzoa matapishi , hatukuwa hata tumewahi kufanya ngono, ndo mara ya kwanza tunaonana mazee.

Basi nikawa namtembeza viwanja mbalimbali vya ninapokaa, tukawa tunakunywa bwanaa yeye maji mi pombe weeeee,, basi tukamaliza salama, namtambulisha kwa washkaji , pombe imekolea weeee.

kufika home, nilirudisha chenji ya kutosha, alideki hadi akakoma mwenyewe, aisee demu ndo mara ya kwanza kulala naye dah mi nataapika sikula hata mzigo siku hiyo, nilijisikia vibaya siku nzima, ila namsifu ndo mke wangu mwaka wa 4 na nusu sasa raha mustarehee kwenye ndoa yetu.
ila pombeee iliniumbua siku ya kwanza. hadi leo nakunywaga kwa taadhari.
 
Mbili za barliiiidii
59a0ad081bad98e88a3e1749007a74e8.jpg
 
Kuna watu pombe inawafaaa na kuna watu haiwafaii kama wale wakilewa wanatakaa ugomvi na kila mtuu,kusarandiaa mapisii ambayo hawayajuii wala sio yakwaoo.
Kama ushakuwa mtu mzimaa na unayo familiaa hujawahi tumia pombe me nakushauri usigusee kabisaa maana inakoleagaa na watu wanahaibikaaa vibayaa mnoo.
Toka lanne kama sio latatu me natumia kamzigoo ilaa sijawah pataa madhara zaid labda nipige mix mix nitapikee au asubuhu niamke mchovu na kazi nafanyaa vizur na maisha yanasongaa na familia pia.
Chamsingi tujitahd kujielewa ukishajiona ukilewa ni matatizo kila siku bora uwachee tuu. Chakulaa mingi na maji yakushatoo inafaaa zaid kupambana na mokejii [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom