Maombi yangu kwa Mh. Rais Magufuli

Maombi yangu kwa Mh. Rais Magufuli

Unalalamika japo ww mwenyewe ndio tabia yako.
Ha ha ha...ni kwenye zile mada zisizo na tija kwa Taifa ambazo zinalenga propaganda za kizushi kwa manufaa ya wazushi.

Inapokuja kwenye mada za namna hii ni vyema tukaaweka 'ugomvi' wetu pembeni kwa maslahi ya watanzania ambao wengi hawana fursa ya namna hii.
 
Kwani mimi sio kijana au? Haitekelezeki nipe mfano wa halmashauri walizotekeleza
Mfano ni halmashauri ya jiji la Arusha zimetolewa kwa vijana wa bodaboda na wamama wajasiliamali.
 
Mwenge unahasisha vipi miradi? Hata kama ni milioni mia 2 ni nyingi sana ukisave
Nami nitakuuliza tena Mwenge umedhulumu vipi maendeleo?Na tutakesha tukiulizana.Turudi kwenye hoja mama ya jinsi gani ya kuwawezesha kwa makusudi kabisa graduates wetu?
 
Last record I have posho za mwenge tu kwa muda unaokimbizwa na over 9Billion sasa niambie hizi hela za posho tu tungezifanyia kazi hapo sijaongelea mafuta magari na maandalizi mengine tungekuwa kumenyanyuka kiasi gani?
 
Zile ni 10% za halmashauri au ni msaada kwa wahisani
Nenda ukaulizie halmashauri uliyopo kuhusu hizo 0% especially kipindi hiki cha magufuli...kwanza uliza zimetolewa then jiridhishe ni kina nani waliopewa.

Kwa ufupi ni kwamba zinatoka ...ila changamoto zake ni pale halmashauri inaposhindwa kukusanya mapato ipasavyo.

Tusijikite sana kwenye fedha hizi kwa kuwa ni ndogo mno na bado hazijawa sustainable.
Tujikite na kufikiria alternative financing ya wataalamu wanaohitimu vyuo ambao ni vijana wengi na matokeo ya kufanya hivi yatakuwa comparably notable katika ukuaji wa uchumi.

Bado hatujamuwezesha mwanafunzi wa Kilimo na ufugaji kuanzisha Shamba ambalo litakuwa ni darasa ,ajira na biashara.

Bado hatujamuwezesha muhitimu wa DIT kwenye mambo ya let say processing engeneering kiweza kujiajiri na kuajiri.

Bado hatujamuwezesha muhitimu wa VETA kwenye ushinaji viatu kuanzisha kakiwanda kadogo sana cha kutengeneza viatu...n.k

Leo hii bado tunanunua maji ya kuchomea sindano kutoka Kenya na Uganda ilihali kuna graduates au pharmaceutical technicians wa kutisha.
 
Bado unaongelea matatizo hujataja solution mimi nimekutajia solution ambazo ndo pesa ni ndogo lakini kumbuka graduates sio wengi kivile ukiwawezesha hawa lazima wataajiri vijana waliochini yao bado nasimamia point yangu kuwa serikali ina matumizi ya ovyo ambayo yakidhibitiwa kwa ujumla wake tutapiga hatua. Jamaa juzi kati alisema vichwa vya treni ni vibovu leo tunataka kuvinunua huoni hayo ni matumizi mabovu ya pesa? Tumetoa gesi mtwara mpaka dar then hakuna kinachoendelea tumeboa nyumba za watu kimara then hatuna bajeti ya hiyo barabara. Ngoja tubet tu lakini 2020 tutaamua kwa busara zaidi
 
Kuna post yangu kule juu nimejaribu kupropose solution.labda hujanisoma vyema.
Tatizo lako unataka kuturudisha kwenye mrengo wa kujadili suala hili nyeti kwa muktadha wa matatizo tuliyozoweshwa na wanasiasa kuyajadili.
Hebu jaribu kutoka kidogo nje ya box hilo na uje na mapendekezo marahisi kabisa kwa serikali kuyafanyia kazi.
Tuliwahi kulalamikia safari za nje kwamba hazina tija leo hii zimefutwa na tumeanza tena kulalamika kuwa Rais hatoki.

Hoja ya msingi ambayo unatakiwa kuja nayo je ni kiasi gani cha mtaji muhitimu anahitaji?ili awezekujiajiri?

Jadili na uoneshe tunaweza kupata wapi chanzo kipya cha fedha ili tuwakopeshe wahitimu wetu huku ukiachana na zile ngonjera classical za wanasiasa...tuko katika dunia ya the so called disruptive ideas...njoo na disruptive idea kuhusu hili.
 
Dah, mkuu Leo unatoa madini! Aisee, sikujua kuwa wewe ni great thinker kiasi hiki kwa kweli!
 
Ha ha ha...ni kwenye zile mada zisizo na tija kwa Taifa ambazo zinalenga propaganda za kizushi kwa manufaa ya wazushi.

Inapokuja kwenye mada za namna hii ni vyema tukaaweka 'ugomvi' wetu pembeni kwa maslahi ya watanzania ambao wengi hawana fursa ya namna hii.

Humu ndani hatufanani kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri, mada yenye mantiki kama hii kuna wengine wanaona haina maana, na ile wewe unayoona haina maana wenzako ndio wanakuwa wamefika. Cha muhimu ile unayoona ya maana changia kwa umaana wake, na ukikutana na lugha za shombo ubaki kwenye mstari maana vijembe ni lazima. Ukiwa na point watu wataona hata kama wanachuki na wewe.
 
Kuna post yangu kule juu nimejaribu kupropose solution.labda hujanisoma vyema.
Tatizo lako unataka kuturudisha kwenye mrengo wa kujadili suala hili nyeti kwa muktadha wa matatizo tuliyozoweshwa na wanasiasa kuyajadili.
Hebu jaribu kutoka kidogo nje ya box hilo na uje na mapendekezo marahisi kabisa kwa serikali kuyafanyia kazi.
Tuliwahi kulalamikia safari za nje kwamba hazina tija leo hii zimefutwa na tumeanza tena kulalamika kuwa Rais hatoki.

Hoja ya msingi ambayo unatakiwa kuja nayo je ni kiasi gani cha mtaji muhitimu anahitaji?ili awezekujiajiri?

Jadili na uoneshe tunaweza kupata wapi chanzo kipya cha fedha ili tuwakopeshe wahitimu wetu huku ukiachana na zile ngonjera classical za wanasiasa...tuko katika dunia ya the so called disruptive ideas...njoo na disruptive idea kuhusu hili.
Mimi sijaiona hiyo post naona lawama tu. Mimi najaribu kuongelea reality ni lazima ujue na ukubali kuwa umekosea ili ujipange uende mbele.Sisi ni katika nchi zenye wasomi wachache wanasema nusu ya wa tz hawajui kusoma na kuandika lakini bado hao wasomi hawana ajira. Mipango ipo watu walishakaa wakafocus tatizo kubwa ni utekelezaji wa hiyo mipango. Unasifia wazo la milioni 50 kwa kila kijiji lakini sioni faida yake hiyo hela ni ndogo mno ni bora hata kila kijiji wangepewa trecta wawe wanaweka mafuta na gharama kidogo za matengenezo
 
Nimesifia wazo la 50M kwa kila kijiji lakini nimetoa angalizo ni jinsi gani ya kulitekeleza...ndio maana nataka unisome vizuri katika posts zangu.
Ni fedha ndogo lakini tukiitoa vizuri ni fedha nyingi .
Ningefurahi ungependekeza fedha hii itolewe vipi haswa katika kuwanasua graduates wasio na ajira wanaotoka vijiji mbalimbali.
 
Azziz Mussa nashukuru kwa post nzuri. Umezungumza jambo la muhimu sana hasa kwa kuishauri serikali kuona naomna ya kusaidia vijana.
Kwa kuongezea tu:-
1. Elimu bila ajira ni sawa na bure na serikali kuwapa mikopo wanafunzi ambao baadae watakosa ajira ama watakosa maarifa ya kujiajiri ni sawa na kupoteza fedha zake.
2. Vijana bila ajira ni sawa na bomu linalosubiri kulipuka kama hatua zisipo chukuliwa mapema tangu sasa.
3. Nitoe pongezi kwa serikali hii kwa kuwapa vijana nyazifa mbalimbali serikalini kama uwaziri na ukuu wa wilaya, hio ni hatua nzuri.
Baada ya kuongea hayo napenda kuambatanisha mazungumzo haya na video fupi. Naamini tutajifunza japo hapa:
 
Humu ndani hatufanani kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri, mada yenye mantiki kama hii kuna wengine wanaona haina maana, na ile wewe unayoona haina maana wenzako ndio wanakuwa wamefika. Cha muhimu ile unayoona ya maana changia kwa umaana wake, na ukikutana na lugha za shombo ubaki kwenye mstari maana vijembe ni lazima. Ukiwa na point watu wataona hata kama wanachuki na wewe.
Nimeliona hilo na wito wangu ni kuifanya mada hii kuwa kisima cha mawazo ya vijana hasa graduates waliokosa ajira.
Kwa hiyo turejee kwenye hoja kuu.Tuje na mapendekezo mujarabu ambayo yatawagusa watawala ambao ni CCM na wale wapinzani ili pengine katika fursa zao za kutuongelea wananchi waweze kuyazingatia .
 
Kutokana na Ongezeko la Vyuo vikuu nchini na kutokana na serikali kufanya jitihada za kutoa mikopo kwa vijana wanaojiunga vyuo vikuu, sasa hivi Tanzania tuna wahitimu wa vyuo vikuu maelfu kwa malaki. Haya ni maendeleo na ni jambo zuri tu.

Hata hivyo maendeleo haya yamekuja na changamoto kubwa inayowaumiza wengi. Asilimia kubwa ya Graduates hao, hawapati ajira kokote na kwa sababu mbali mbali wanashindwa kujiajiri vile vile na hivyo kujikuta wanabaki wakitangatanga. Aidha , kwa kuwa wanakuwa hawapati kazi , sio tu kwamba elimu wanayokuwa wamepata inakuwa haiwasaidii lakini pia wanashindwa kurudisha mikopo.

Katika kipindi kimoja cha televisheni, nimemsikia ndugu Polepole akieleza kuwa kwa mwaka huu, serikali imeongeza maradufu, kiwango cha mikopo kwa vijana wanaojiunga na vyuo vikuu.

Maombi yangu ni kwamba; ikiwa itaonekana inafaa, basi fedha za mikopo badala ya kutolewa kwa ajili ya elimu ya juu tuu, fedha hizo zigawanywe mafungu mawili. Fungi moja wapewe baadhi waende Chuo kikuu na fungu lingine wakopeshwe wengine wakaanzishe miradi midogo midogo. Hii itasaidia kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira, itasaidia vijana kuweza kurudisha mikopo na itasaidia kukuwa kwa uchumi.

Aidha, ifanyike kampeni ya kuwajengea uelewa vijana na kuwahamasisha kuwa sio lazima watu wote wasome vyuo vikuu ndio wafanikiwe na waeleweshwe kuhusu changamoto za ajira zilizopo mbele yao ili wafanye maamuzi sahihi mapema.

Hilo ndilo ombi langu ambalo naamini litawasaidia vijana wengi ambao Mara nyingi hujikuta kwenye utata mkubwa.

Bethlehem.
Hebu kaeni kushoto watu mmekopeshwa pesa ya kusoma na mtaji mtaka mkopeshwe tena wakati wenzenu tunalilia tukopeshwe hta pesa ya kujikimu (boom) na tunaikosa
 
Mkuu uwe unasoma uelewe ndio uchangie. Usiwe unakurupuka tu! Ni vizuri ukarudia kusoma ukishaelewa ndio ukachangia. Halafu usiwe unajifikiria wewe tu, fikiria na wengine: kama kila MTU akisema awe anajifikiria mwenyewe tu, dunia haitakalika.
 
Hali ni ngumu sana kiuchumi.Baadhi ya vijana hao walijaribu kuingia kwenye kilimo cha mahindi lakini Waziri mkuu akapiga marufuku kutoa mahindi nje hali serikali haiwezi kuyanunua.
Matokeo vijana hawajui wapi waende.Mimi naona mipango ya serikali ndio kikwazo kwa vijana.
We jamaa umeongea kitu cha msingi sana inshu tu ni serikali kuweka mazngira mazuri kwa wakulima ili vijana wajikite huko hisusan mazao ya biashara na chakula yanayo anguka kwa bei na mengine kukosa wanunuz mathalani mahindi, tumbaku, mbaazi na korosho
 
Mkuu, mbona soko la mahindi ndani ya nchi lipo kubwa sana tu aisee? Yaani wakati walaji wanalalamikia bei ya mahindi IPO juu sana, wewe unalalamikia soko la mahindi hakuna?
Ndugu yang usiambiwe fatilia kwa uhalisia amin nakwambia soko la mahindi limeanguka kwa kiasi kikubwa na kilimo chote tu kwa ujumla. Ukija upande wa biashara ndo usiseme wakisema wakopeshwe tena hao vijana kwa hali hii na sera hizi za uchumi itakuwa ni deni juu ya deni
 
Any way kama kuna chakula kingi kuliko mahitaji na hivyo chakula hicho kukosa soko, hiyo Nayo ni changamoto itokanayo na mafanikio. Kwa hiyo badala ya kusikitika, tunapaswa kushukuru na kuangalia way forward. Yaani ni Sawa na uzalishe bidhaa kuliko uwezo wa stoo, hilo mbona jambo jema tu! Hapo unakuwa ushapiga hatua muhimu.
 
Back
Top Bottom