BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Mambo mazito aya,
Kwanza lazima niseme wazi tu kwamba, tunaposema (kwa ujumla wetu) watu wasiojulikana tunakosea sana.... Kisichojulikana maana yake hakipoMshana wewe ni mtaalam wa mambo ya giza. ..na nuru hivi huwezi tuambia wasiojulikana walivaa nguo Gani na walikmbilia wapi baada ya unyama ule wa kumpga Mwanaharakat TL?
Ni almost kitu kile kile kama dunia na ulimwengu hasa kuzimu na akhera, huko ni kwa wafu lakini jehanum ni sehemu ya mateso kwa ajili ya wadhambi na unaweza kuishi jehanum ukiwa bado haiKuna tofauti kati ya Kuzimu, jehenamu na ahera?
Hiyo picha imepigwa kutoka kuzimu?Kwanini tunatenda mema na mabaya? Kuna wakati hizo milki hupishana ama kupokezana!,kwanini kuna vita ya kiroho? Kuna wakati nafsi huwa katikati na kila milki hutaka kuwa na maamuzi ya mwisho! View attachment 595881
Ni Jibu Zuri Sana Kwa wale wanaotaka uthibitisho wa kisayansi ktk kutoa majibu ya mambo ya ulimwengu wa Kiroho.Haya ni mambo ya kiroho hayana ithibati za kisayansi
Yeah ni watu wanaoishi maisha ya kukaririNi Jibu Zuri Sana Kwa wale wanaotaka uthibitisho wa kisayansi ktk kutoa majibu ya mambo ya ulimwengu wa Kiroho.
Wale wanaotaka uthibitisho wa kisayansi kuhusu Uwepo wa Mungu, Shetani, Mbingu, Kuzimu nk.
Ukiwaambia tutumie Astra Projection au Holly Meditation wanasema hawaijui.
Sijui tutawasaidiaje.
Asante Profesa mshana jr.
Cc..Alwatani, Helopine na ma- Atheist wote.
Chumvi hii ya,kuungia mboga?Tiba ya chumvi kuogea ni kiboko ya yote