Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli

Mpaka mwisho wa awamu hii ya kwanza tutakuwa tusha teseka mpaka kalio halitakuwepo ...
 
Utakwenda wewe na familia yako yote (kama sio ukoo) kumpigia Magoti....

Angekuwa anaamini yeye hajaribiwi, angefunga safari kwenda kwa Wazee wa Makinikia (Ng'ambo) tuone kweli atarudi salama...!!

Ama Mshauri basi apunguze Utitiri wa wapambe kwenye msafara wake, kwani yeye ni Raisi kipenzi cha watu na chaguo la Mungu wa Malaika (sio Mashatani)
Mungu ananjia zake za kumlinda mtumishi wake, hata hiyo njia ya kutokwenda huenda kaambiwa na Mungu

Hata ndani ya CCM wanaulizana ni nani aliyempigia kura huyu mtu?? Jibu hakuna
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.

Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu, nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais.

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe.

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais serikali yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote.

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida. Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.

Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wa kwanza sasa anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.

Kuna kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wish sote tujuwe thamani ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umasikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tusipo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake aliempenda.

Ewe Mtanzania sema asante Mungu kwa Rais Magufuli
Mbona kama unaimba bonkers?!? !?!
 
Kuna mtanzania atathubutu kumpigia kura huyu 2020? Ajiandae kutumia vyombo vya dola kusalia madarakani, lakini kwa kura halali, hapati ng'o!
Ngoja ni iskrini shuti hii comment nitakuonyesha 2020, ikiwa ndani ya ccm hawamjui aliyempigia kura rais, sembuse sisi??

Yani kila sala iliyopigwa na watu miaka michache iliyopita ili kumpata kiongozi imejibiwa leo!!

Nyerere alimsihi kiongozi huyu asije geuka akawa jiwe kutokana na makelele yao, aende tuu bila kugeuka nyuma akampose huyo mwanamwali
 
Siri kubwa ya utawala wa Dr. Magufuli nani aijuwaye, wengi tulimtaja na wengi tulimtegemea japo wachache ndani ya chama hawakumpenda wakati wengi waliokuwa wakitengeneza mirija mirefu yakufyonza asali walikuwa hawataki kabisa asikike.

Safari ya Magufuli kuwa Rais nikama move kali yakivita ila mwisho lazima apatikane mshindi. Inasemekana ktk ukumbi alishuka malaika ambaye wengi hawakumuona na ndipo safari yakweli ya Mh Rais ikawa imepata nguvu za ajabu ambapo hakuna mpaka leo anajuwa nini kilitokea zaidi sana kila mtu anasema lakwake na uwenda wengi mpaka sasa bado hawajajuwa nguvu ya huyu kiongozi ila as days goes wote watapiga magoti nakumsujudu, nataka kukwambia hakuna goti halitopigwa chini ya huyu Rais.

Rais Dr Magufuli rais wa tano wa taifa hili kama ilivyo namba ya muhula wake 5 namba hii huwa haigawanyiki ila kwa yenyewe.

Mh Rais sio wakawaida na ninataka nikwambie ndugu mtanzania na kama Mungu atatupa uzima na afya post hii ikiwepo nataka kukwambia huyu Rais serikali yake haitoshindwa ila wengi watakao pambana na utawala wake majority watakuwa kama mbwa abwekae ila hana ukali wowote.

Huyu Rais amepata kibali kama mnafikiri masihara subirini maana kazi atakayo ifanya for ten years hakuna kiongozi ataweza baada yake hii ni ishara ya kuwa sio wakawaida. Huyu Rais maadui zake watafedheeshwa sana natural wakiwa hai maana kama vile jina lake lilipitishwa na nguvu za ajabu ndio hizo hizo nguvu zinamlinda till the end.

Salini na kutambika nenedeni kwa waganga wote kumloga kamwe hakuna nguvu yaushirikina itamuweza kwasababu anangucu zisizo zakawaida.
Muombe kifo ila juwa utakuwa wewe wa kwanza sasa anakazi ambayo lazima aimalize na lazima aikamilishe nakuweka misingi mingine for 50 yrs. Sasa kazi kwako poteza muda ukifikiri utamuweza.

Kuna kauli anasema sijaribiwi hii sio sauti yake hii ni sauti ya tofauti toka ktk vilindi vya nguvu alizo nazo kweli hajaribiwi anauwezo wa ajabu sana na kila mtu mpaka hao usalama wanamshanga maana ajawahi kuwepo such leader mwenye sens ya ajabu na watu wake. Ana wa feel watanzania na ana wish sote tujuwe thamani ya utanzania na mali tunayo ili tutoke kwenye umasikini.

Kiukweli kabisa ana super natural power na 2020 itakuwa ni sunami.... Take from me

Siri nikubwa maana alimuweka ananguvu za ajabu sana na amejificha tusipo muona ila anafanya kazi na kiumbe wake aliempenda.

Ewe Mtanzania sema asante Mungu kwa Rais Magufuli
Sasa ww umeionaje iyo nguvu kama haionekani.....
 
Hivi watanzania hamuwezi kuchangia hoja hata kama humpendi mtu bila kutoa lugha ya matusi sasa wewe una mkataba na mungu kuwa by 2020 mungu atakuwa ameishamshushia kipigo ila wewe utakuwa mzima watch out your tongue mungu ni wa kila mtu including huyo unayemchukia
Hua inabidi kuwazoea mkuu

Wakikosa hoja hua matokeo yao ni matusi

Hapa naona maana ya kuweka kura kuwa siri. Kuna watu wangepigana ngumi siwafichi
 
Kwanza ww lbd ni mjinga hakuna binadam wa kupgiwa magoti ila MUNGU tu hayo unayoyasema ww ni ubatiri ole wako ww wakala wa shetani siku zaja mtalia na kusaga meno.
 
Yusuph alipigiwa magoti maana alikuwa na kibali. Magufuli nakibali no way mtapiga tu.
 
Ahsante kwa lipi? Kwa udhalimu wake dhidi ya Watanzania!?

Back
Top Bottom