Nimefuatilia kwa makini mjadala, nami naongezea sehemu ya majibu ya Nape, kuwa moja ya uwezo wa kufikiri wa mtu aliye makini na jambo mahususi, ni kujipambanua mbele ya umma, mwelekeo, malengo na msimamo wake dhahili. Hapa Nape amefanya hivyo, ila kwa sababu ya ushabiki, hoja zinazoingia humu ni...