CHADEMA kama mnataka kushinda Arumeru Mashariki kuweni makini na huyu jamaa!

Mwigulu is the king maker, nimeangalia nyuso za hao vijana wanamsikiliza kwa makini. Huyu ni mtu mkubwa anaposhuka kwa watu wachini inatia fora na lazima CCM
 
Siyo kwamba Igunga walishinda pamoja na kutoa pesa ila waliiba kura kwa kuunda vituo feki.
Acha atoe fedha mwisho siku CHADEMA itashinda

kama waliunda "vituo feki" ina maana walikuwa na uhakika wa kushinda (angalau kwa kuiba), sasa kulikuwa na ulazima gani wa wao kutoa rushwa ?
 
CHADEMA hamasisheni vijana ili wachukue hela kwa huyu bwana maana ni kodi zao.
Kula CCM, piga kura CHADEMA!

Haiwezekani hata kidogo mtu achukue hela CCM halafu apige kura CHADEMA. Haitakaa itokee. Hela ni shetani na siku zote ukishachukua hela isiyo halali itakuangamiza tu. Kwa wale watakaochukua hizo hela wataishia kuipigia kura CCM ingawa wanaweza kua na mawazo ya kupiga kura CHADEMA wakati wanachukua hizo hela. Kumbuka hata kwenye mafundisho ya dini, Yuda alikula hela ya Wayahudi na haikuwa rahisi kurudi nyuma, akaishia kumuuza Jesus na yeye mwenyewe kujinyonga. Wananchi wa Arusha wajitahidi kujiweka mbali na fedha za CCM na wafanye maamuzi sahihi siku ya kupiga kura!
 
Toka chaguzi za arusha zimefanyika ni mtu gani wa ccm ulishasikia amekamatwa na t*k*k kwa rushwa zaidi ya jitihada za vijana shupavu na makini wa CDM kupambana wenyewe, kumbuka kipindi cha uchaguzi uliopita upate uzoefu wa rushwa na ccm.
 
Sangarara unajipa matumaini huoni lile bango la pale nyuma ya picha soma mandishi. Hapo ni tengeru kwenye bodaboda
 
Jamani kama ni Mbinu nzuri kwanini msiige? Kama kweli anagawa rushwa muandalieni mtego akamatwe na takukuru kuliko kupiga makerere bure, siku hizi hata watu wanatembea na vitabu vya Dini wakiwakuta watu wanawahubiria habari njema kisha nyumba za ibada zinajaa.

Takukuru ipi mkuu? ile iliyochunguza RICHMOND na EPA? halafu ikagoma kuchunguza wezi kwenye dili la Rada?
 
Magwanda wanapoanza kulalamika wanatia huruma. CCM inatisha!
 

Yes huyu jamaa ni kichwa maji.

Mimi namwonya mapema kabisa kama atajifanya kijogoo kama alivyofanya Igunga yaani kupanda wake za Wanaume wa Kimeru basi ajue kuwa ndo utakuwa mwisho wake kisiasa.This time lazima ashikishwe adabu na atubu. Asitake kuwafanya watu kuwa mazezeta.

Mwigulu Nchemba watch out. Safari hii Arumeru mjue kuwa CCM hampati kitu hata kama mtachakachua,kuhonga,kununua shahada na kuua mawakala na wapiga kura wa upinzani!Arumeru ya Arusha ni ya WAJANJA bana, msije mkafikiri mpo Igunga na Iramba. Hiyo ndiyo Arusha bana. There will be an eye of God watching you from all angles in Arumeru. Any slight nonsense mistake itakuwa imekula kwako na CCM yako. Hizo ndiyo salamu kwa Mwigulu Nchemba.
 
Kama amesimama tu vijana wote wameenda kumzunguka ili azungumze nao, nadhani siku akisema anamkutano, hakuna atakaefanya kazi yoyote. Kamanda Mwigulu unatisha!!
 
Watake wasitake wataisoma namba tena kama walivyoisoma Igunga. CHADEMA ni weupe sanaa wait and c game ndo imeanza!!!!
 
we makoye unadhani huyo Mungu ni wa CDM tu hata sisi CCM tuna Mungu na Jimbo hili ni letu. Soon mtaanza kuwewe seka hata mkimwaga mafedha kama mlivyowagawi watu kule vijijini Igunga hamchomoki ngo'. Hii ndiyo CCM zaidi ya Vampires
 
Back
Top Bottom