Recent content by syrora

  1. S

    Things Magufuli said and Kenyan Media rediculate him only to be proven right by WHO

    Kenya watu washapiga pesa ya mkopo,halaf nyie kajamba nani,mnakuja kutoa povu kwa rais wetu,hii ni nchi huru na tuna maamuzi yetu,mnatuambia hali mbaya, mi mtaani kwangu hakuna kifo cha corona tangu ianze,poor Kenyans. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Benchi la ufundi Simba

    Mimi nilivyoona tumeweka double stricker,na yanga kwa viungo wale,nikajua tumeumia,kibaya zaidi dk 15 zilitosha kwa benchi la ufundi kufanya marekebisho,. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. S

    Rais Mugufuli atakumbukwa na vizazi vingi wa Watanzania

    Ukweli mchungu,watakuja hapa na mapovu yah sasa hv Sent using Jamii Forums mobile app
  4. S

    Kitabu kipya: Maisha ya Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 - 2014

    Mimi ni mkristu, na kwa jinsi nilivyosikiliza mihadhara yake, hakua mtu mzuri kwetu, Mungu alimuwahi kabla hajafika mbali.
  5. S

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    We utakua ulikutana na afande tall,maana yeye na kihimbi ndio walikua wavuta sigara,nadhni nilikutangulia mwka
  6. S

    Dr. Bashiru fukuza secretariet ya wilaya Kinondoni

    Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa uamuzi wako wa busara kuamua uchaguzi wa kura za maoni kurudiwa, hasa kwenye wilaya ya Kinondoni. Lakini nataka nikujulishe jambo moja kubwa, uvurugwaji wa uchaguzi kwenye wilaya ya Kinondoni umeanzia wilayani, hapo ndipo mihutasari ya matawi na kata...
  7. S

    Mwanaume mzima unaishi kwa wakwe zako?

    We kweli baharia,hakuna kuremba[emoji23][emoji23]
  8. S

    Kazi ya zamani ya Membe, matarajio yake 2020 na katiba ya CCM 2017

    Kwanza kabisa ijulikane,anachofanya Membe ni utovu wa nidhamu uliopitiliza,uchaguzi wa serikali za mitaa ni mwaka huu na watu hawajatangaza nia,iweje yeye leo hii aanze kuongelea urais,naamini anajua hawezi kufanikiwa hicho anachoota,ila kuna kitu kingine anakitafuta.Naamini vikao vijavyo vya...
  9. S

    Rais Magufuli ndani ya Treni ya Tazara

    Mr President kwenye ubora wake.
  10. S

    Nashindwa kung'amua kabisa mtu kama MEMBE pamoja na ujasusi wake eti anaongea kwenye simu

    Kuna watu wanakuzwa kwa pesa zao,lakini hawana chochote,kama alivyosema Lusinde
  11. S

    Wabunge wa CCM acheni kuwahukumu Mzee Makamba na Kinana viacheni vikao vya chama

    Vikao vya chama vitafuata,lkn kama wao wamechafua hali ya hewa huku nje,wanastahili kujibiwa kwanza nje ili kuweka mambo sawa.
  12. S

    Hili la treni ya Arusha, Tanga, Moshi mbona hamuandiki au ya Chato tu ndio huwa mnayaona?

    December ni nyie tu kwenda migombani,Chuma amewarahisishia
  13. S

    Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Kwani ule waraka wamempelekea musiba?au wameupeka chamani kumshtaki mwenyekiti.
  14. S

    Sauti inayodaiwa ni ya Mzee Makamba na Mwanaye January Makamba kuhusu Waraka

    Kufuatia mfululizo wa clip ambazo zinaendelea kutolewa na wahusika kutozikanusha,ikiwemo ya January na baba yake Mzee Makamba,ni dhahiri sasa kijana huyu amekua akishiriki vikao vya baraza la mawaziri na wakati huo huo yuko kwenye vita vya kimya kimya vya kumhujumu mh rais,kwa hali hio kweli...
Back
Top Bottom