Rais Magufuli ndani ya Treni ya Tazara

Rais Magufuli ndani ya Treni ya Tazara

Mama Kilango Malecela alitumbuliwa kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa wkt Ole Sabaya amekula rushwa na kulazimisha kupewa hela kibabe na hakuna kitu atafanywa.

Kweli haya ni maendeleo.
Yure mupe yure muruke
 
Sabaya alimwambia Swai kua zile hela alitumwa, huwezi jua Mkuu, lisemwalo lipo.
 
Kukichwa kukicha ni icon moja turns ndio inasikika
 
Si mchezo, katika dakika ya 0.34 nimeona Helikopta ikisindikiza treni, mtulindie Rais wetu.
 
Ai wishi tu bi prezidenti,nimependa alivyokaa hapo akiwa anaona maisha katika mwanga ulio bora
Namuona anachat atakuwa anasoma post za wale wanaosema "hakuna anachofanya jiwe"
 
Mama Kilango Malecela alitumbuliwa kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa mkoa wake hauna watumishi hewa wkt Ole Sabaya amekula rushwa na kulazimisha kupewa hela kibabe na hakuna kitu atafanywa.

Kweli haya ni maendeleo.
Kama uliwahi kuiba mali ya umma au kuikwepa kodi zamani au kufanya ubadhirifu wa aina yoyote ile ujuwe haupo salama na utalia tu.
 
Safi sana Rais wetu. Yaani i cant wait umeme wa Rufiji. JPM oyeeee .Kama nawaona wanavyonuna..........Na bado yaani. Mtaipandika. Hapa maendeleo kwa kwenda mbele.
granted....oyee!

but kama kweli yanayofanyika ni mazuri kiasi unachosema...kwa nini kunyamazisha wakosoaji kwa kutumia police brutality?
hii intimidation dhidi ya "checks and balances" institution kama CAG ya kazi gani?
why supress citizens' freedom of expression?

watuache wananchi ndiyo tutoe verdict kama kuna tija katika haya yanayofanyika au la.

JK alifanya mengi pia (roads construction in thousands of kms but he never hijacked media to showcase his achievements like this one ambaye hata barabara ya 1 km anaamrisha TV zote nchini zimmulike yeye tu ili kuwazuga wenye zile IQ za majalalani).

barometer: latest WB & IMF reports.
 
Back
Top Bottom