Recent content by Switone

  1. S

    JamiiForums Tanzania What's the last movie that made you cry?

    John wick
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    Aiseeee nimekupenda bure kwa Ujasiri ulionao, Wanawake tunatakiwa tuwe strong tupunguze kulialia kisa kuumizwa. Wew tengeneza maisha yako na mwanao muishi maisha mazuri. Huyo hajielewi hata kidogo, atakuwa kuchanganywa akili na mchepuko wake huyo, tena wanaboa na msemo wao eti MWANAUME BILA...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada haraka

    Ushauri gan hapo upewe? Hapo huyo mwanaume hakupendi, ndo maana anatafuta na msaada wa kuambiwa yupi mke bora kwake wakati chaguo ni lake,Wewe Ondoka achana nae na huyo anayeona ndo alistahili kuwa mke wake.,My dear maisha ni mafupi sana na hamna mengine zaidi ya haya so ishi kwa furaha, pigania...
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheria tano za mchepuko salama

    Labda kwa mwanamke asiyejielewa thamani yake yeye binafsi ndo atashtuka na kuona mumewe alistahili kuchepuka.
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa module pasua kichwa

    Umenikosha kwa jibu murua ulilompa. Mtu anayejielewa na kujiamini hawez hata siku moja akatishika na visasi vya kipumbavu.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanichanganya mwenzenu

    Wew ni shetani, na Mungu huwa haachi vitu vipite hvi hivi, Machungu atakayopata rafiki yako siku akijua lazma uyalipie kwa njia yoyote ile.
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye ndoa zilizovunjika tupeane uzoefu tafadhali

    Jichunguze vizuri, wew kama humpendi na kumthamini kam mwandani wako yeye upendo utatokea wapi kwa nduguzo? Kila siku anakufumania furahA na wew itatoka wapi? Wanaume mna nafasi kubwa sana kwa maisha ya mwanamke, mwanamke unaweza kumshape utakavyo kwa jinsi utakavyokuwa unamtreat.. Wew una...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walioolewa na wana mpango wa kutunza ndoa zao

    Somo zuri sanaaaahh, nimelipenda. Tupe link for more refference
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri - serious

    Kabla sijamaliza kusoma huo utumbo wako naomba nkuambie wew ni bonge la PUNGA, Wanaume kam wew mnatia aibu sana kwenye jamii.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanangu Mwanauba, jifya moja haliinjiki chungu

    Well said......
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    My dia move on na maisha yako kabisaaaa.. Huyo hafai kabisa, Mwanaume anayeendekeza umalaya sio wa kumvumilia hata kdogo, Atakuletea magonjwa bure ya zinaa ujifie umuache mtoto wako. Wew kwanza badilisha hiyo line yako na namba wape watu wako wa muhimu. Hata akikucall or kutext na kuona sms...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Umeongea point ila jua hivi..!!! Mwanamke au Mwanaume akiendekeza mahusiano ya nje lazima awe na roho ya kikatili kwa yule ambaye ni mtu wake.. Na hata afanyiwe jema lipi ataona sio jema bali yule wa nje ndo yupo right kwa kila kitu.. Kwa huu mkasa huyu dada asingesema mumew ni Mnzinzi na Mlevi...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hukukosea Kuoa, Umekosea namna ya kufikiri !!

    Hamna mwanamke anayependa kuwa juu ya mmewe kama mwanaume anajibehave, tatzo wanaume mnajua san kukurupuka na mtu ukishauriwa kidogo ndo madai ya kusema unapandwa kichwani... Mwanamke anayekuonya na kukuelekeza jema huyo ndo anayekupenda, Kimada au mwanamke ambaye yupo na wew kimaslAhi hawezi...
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maumivu yasiyofutika moyoni

    Well said👍👍👏👏🙌🙌🙌🙌 Mapenz ni ziada tu,.Siku huyo mpenzio kifanyio kikapata problem ndo mtaachana au? Maendeleo kwanza
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kutoka kwenye huu uhusiano.

    Wew ukifumwa ni kupewa sumu tu ujifie kitaratibuuuuu kama Paka Shume lililozoea kudokoa nyama nyumba za watu... Huna hata haya, hapo ukute mkeo hujawah kumpa hata sent ya kununua kandambili, Ila ipo siku utafumwa tu, Na huyo mschana ni bonge na muuaji na hiyo dhambi ipo siku atailipa tu.
Back
Top Bottom