Kwa walioolewa na wana mpango wa kutunza ndoa zao

Kwa walioolewa na wana mpango wa kutunza ndoa zao

Nimeguswa kwa namna ya pekee.... barikiwa mkuu!
 
Huu pia ni ubinafsi wa wanaume. Naomba utuwekee pia wajibu wa mume kwa mkewe maana imeandikwa kuwa enyi waume wapendeni wake zenu.............Lkn wanaume wengi wanawapenda vimada aka michepuko zaidi kuliko wake zao na ndio maana hayo yote uliyoyaandika kuhusu mke mwema hayatekelezwi kwenye ndoa zilizo nyingi. Usitegemee mkeo uliyemuumiza kutokana na kutomthamini mfano kwa kupenda michepuko yeye atakufanyia yote hayo! Waume pia watimize wajibu wao, na hayo yote watatekelezewa na wake zao.
 
mi nadhani ndoa tu inatosha, kilichounganishwa na mungu binadamu hawezi kutenganisha.si ndio jamani?

kwa wale wanaosoma BIBLIA pia inasema ndoa na iheshimiwe na watu wote, hii ni pamoja na wanandoa wenyewe. Usipoheshimu ndoa yako mwenyewe nani ataithamini?
 
Somo zuri sanaaaahh, nimelipenda. Tupe link for more refference
 
Mbona kazi nyingi sana hizo.... huyo ni mke au robot?
 
mafunzo meengi yalishatolewa,

wakusikia walisikia, wa kubeba walibeba.

utekelezaji sasa katika eneo la field ndio imekuwa shida!!

kila mmoja anataka awe rais ndani!!!
 
Kama Umeolewa Ichukue, Ichape Na Uanze Kuitendea Kazi.

Kama Ni Binti Mwenye Malengo Ya Kuja Kuwa Mke Mwenye Ndoa Iliyofanikiwa, Ichukue Na Uichape, Ibandike Chumbani Kwako, Na Uanze Kuitendea Kazi.

nimeibandika chumbani kwangu hii
 


kuhusu wanaume tayari nimeisha iweka tena ndio ilikua ya kwanza.
kwa msaada fata link hapo chini, utajifunza na kuelewa mengi.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...weli-mwenye-malengo-ya-kuwa-na-ndoa-bora.html
Ndege Tausi

Huu pia ni ubinafsi wa wanaume. Naomba utuwekee pia wajibu wa mume kwa mkewe maana imeandikwa kuwa enyi waume wapendeni wake zenu.............Lkn wanaume wengi wanawapenda vimada aka michepuko zaidi kuliko wake zao na ndio maana hayo yote uliyoyaandika kuhusu mke mwema hayatekelezwi kwenye ndoa zilizo nyingi. Usitegemee mkeo uliyemuumiza kutokana na kutomthamini mfano kwa kupenda michepuko yeye atakufanyia yote hayo! Waume pia watimize wajibu wao, na hayo yote watatekelezewa na wake zao.
 
Last edited by a moderator:
swala la kutunza ndoa ni la pande zote mbili, nashangaa mbinu hizi za wanawake tu
Mwanaamke ndo nyumba yenyewe na nyuma ndo kila kitu,wewe unafikr wanaposema amepata nyumba ndogo wanamaanisha nini, na waliofanya hayo ndoa zao zimedumu lakini ukileta genda kwenye ndao lazima uangukie pua,ndoa ni mpango wa mungu na unatakiwa uende kama alivyopanga yeye
 
Huo ushauri wa ukweli kabisa lakini watakuja na gender zao hapa watakupinga ila bado utabaki kuwa ukweli tu!
 
Asante mkuu..naomba Mungu anisaidie ktk kutimiza Haya..napenda kua mke mwema sana bt wanaume wanakatisha tamaa sana...
 
Unajitahidi sana kufanya yote hayo lakini bado anakudharau na kukusaliti na wakati huo hatoi msaada mh! Ndoa ngumu
 
Back
Top Bottom