DIKACY yaani wewendo mke? yaliyokukuta unasimulia kama hekaya hata uchungu huna
Ndoa ya kanisani Roman Catholic
Nimeolewa nina mtoto,
Mume wangu kachepuka kampa mchepuko mimba,sasa kachanganyikiwa aishi na nani,kaanza kufunga na kusali ili Mungu amuonyeshe nani mke wake,kaenda Malawi kwa mchungaji Mmoja anaitwa Bushiri akamtabiria aachane na mke wa ndoa aende kwa mchepuko,
Sasa hivi hapashikiki, jamaa anataka kunipa talaka ili aoe mchepuko.
Ushauri jamani.
Asanteni sana kwa ushauri wenu,naomba wengine msome mada muielewe vizuri kabla ya kujibu chochote.ndoa hupangwa na mungu
,jiweke tayari kwa lolote,
ulipaswa kabla ya kuzaa nae mfunge ndoa,
ila huwezi jua mungu kakuepushia nini.
wewe pia unaae Mungu,mwombe utafanikiwa tu.
Ndio tena kanisani RC.Huyo mwanaume hana akili.....
Ila hakuna cha mchungaji wala nini hakutaki tu na umalaya wake
Swali la nyongeza huyo ni mumeo wa ndoa???