Maumivu yasiyofutika moyoni

Maumivu yasiyofutika moyoni

Baada ya kufahamiana kwa kweli nilimzimikia sana, alikuwa mzuri in all aspects. Anatoka kanda ya kaskazini, mweupe natural, mnene kiasi mguu wa bia na kifuani mzigo wa uhakika uliosimama (bado haujalala).
Mkuu hayo ndo yanayo kuumiza hakuna la ziada hapo.
Utakapo kuwa tayari kuyatoa mawazo hayo kila kitu kitakuwa kawaida.
Kila jambo unalolifanya linaanza na mawazo kisha maneno una malizia na vitendo.
Namna yako ya kuwaza ndo inakuongoza na ku kupelekea kufanya zuri au baya hapo sasa ndio sisi tutakutafsiri katika mtazamo hasi au chanya.
Wanaume wengi sana tumetawaliwa na tamaa hasa pale unapoanza kuwazia sifa za maungo ya mwanamke hapo ndio utajikuta unakoki bastola ya (dully) hata kama mtu uko njiani.
Utazunguka sana mabucha laki nyama ni ile ile tofauti ni mapishi tu na unatakiwa kusahau mapishi ya kule uliko toka ili uwezekufurahia pishi la mpenzi wako.
Unayakumbuka maneno uliyokuwa ukimwambia binti wa watu wakati unakutana naye kwa mara ya kwanza leo kumpata tu huyo mpita njia umeyasahau kabisa, hakianane wanaume tutahukumiwa vibaya kwa hii dhambi ya kusema uongo.


HONGERENI MABINTI WAZURI WEUPE/WEUSI MLIOJAZIA WENYE MAUMBO YA KUVUTIA, KWA KUWALIZA MIDUME.
 
pole sana, nimeipenda story yako, ushauri wangu ni huu: muombe tuu muwe mnakumbushiana maana huo tayari ni kama ugonjwa kwako, akikupigia mwambie tuu kuwa unamuhitaji japo kwa mara moja moja, kama kweli alikupenda atakuelewa, na wewe usigande jumla, wako akirudi jenga maisha. ni hayo tuu.
 
Sijajua ni kwa nini mtu anaona mwanamke au mwanaume anayejua mapenzi ndiyo kila kitu. Mimi mke au mume ni yule ambaye ana mtizamo wa kimaisha na kimaendeleo. Masuala ya kitandani yawe ni muhimu lakini yasizidi yale masuala ya msingi. Pole sana ila inaonekana kuwa wote wawili mlikuwa victim wa kuwa mbali na wapenzi wenu. Hakuna wa kumlaumu, na mke karudi kwa mume.

Well said👍👍👏👏🙌🙌🙌🙌
Mapenz ni ziada tu,.Siku huyo mpenzio kifanyio kikapata problem ndo mtaachana au? Maendeleo kwanza
 
Back
Top Bottom