Recent content by swept

  1. S

    ISRAEL v/s IRAN.

    Iranians are not Arabs, they are Persians get that cleared before you generalise n comment.
  2. S

    Wanyamwezi nani kawaroga?

    Hii post ni ya kibaguzi kama ana asili ya Somalia ndo Hana qualification? Ragge ni mmoja wa wafanya biashara kuleta dala dala Tabora na ikaleta changamoto watu wafanya biashara wengine kuwekeza kwenye daladala. Na wote tunajua umuhimu wa transportation kwenye maendeleo. Pili wa kwanza...
  3. S

    Kingwangala: Tabora ni ya CCM, CHADEMA inawahadaa wana Tabora

    Unahakika hatuna barabara ya lami? Toka enzi za mkoloni tulikuwa na lami. ukituwa airport ya Tabora (mjini) hadi town lami ukipandisha mlimamani camp ya jeshi mara ya mwisho kuwa Tabora ilikuwa 2009 msijenge mtazamo Tabora Bush Mji wetu ina historia sema watu wakisha fanikiwa hawarudi kwao...
  4. S

    Rage Tabora tunakufa

    lini amelala? afu unajua Tabora nikubwa jimbo gani unanzumzia Tbr mjini? Igunga, sikonge? suala la Elimu hamna mtu asiyejua heshima ya Tabora boys top10 necta kila mwaka haikosi!
  5. S

    Ujinga unapopewa kiti; Hekima inapozibwa macho - Wamejuaje la Arusha si la Udini?

    ndugu yangu acha kuchocheza hili suala ni senstive ukijumlisha kosa wa wapuuzi wachache kuwahukumu dini nzima tafashal Mimi Muislamu nanipenda nchi yangu na naiombea amani kila siku na laani mlipuko wa Arusha.Mbona scandal ya Mapadri kuwalawiti watoto wa kiume Marekani na UK mtu mwenye akili...
  6. S

    Rage: Mmebugi men....!

    nashaangaa watu wanakuwa na uelewa mdogo na mfinyu alivyosema 'umebugi meen' alikuwa anakejeli na kuchangia hoja ya upinzani nashangaa watu mnalichukulia statement literary mananeno mangapi kasema kwenye hotuba yake ila mna quote to "umebugi man". afu hauna hata habari ya uhakika kuhusu Tabora...
  7. S

    Jalada la Rage kutinga kwa DPP - Kamanda Polisi Dodoma

    Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumzia suala hilo alimtetea Rage, akisema alikuwa akiamua ugomvi huo na kama isingekuwa yeye mauaji yangetokea. "Hakuhusika yeye alikuwa akiamua ugomvi na kama asingekuwepo mauaji yangetokea," alisema Ndugai.
  8. S

    CHADEMA Yazidi Kujikoroga mwaka 2013

    jamani is CHADEMA untouchable? tuacheni ushabiki wa kijinga any criticism ya CHADEMA wafuasi wao wana lebel as "pumba"
  9. S

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    Lowasa ana pesa chafu, catering ameleta kijijini kwake duh! Muogope mtu ambaye anakimbilia kwenda Ikulu- hayati Mwalimu J.K Nyerere
  10. S

    January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

    Mbona una double standard ndugu? angekuwa mpinzani amesema ni ndoto ccm kushinda uchaguzi 2015 unge react vipi? anzisha mada yalioenda shule siyo maneno ya mtaani mkiwa mnakunywa kahawa unayaleta huku! But i guess you are entilted to freedom of speech. have a good day ndugu
Back
Top Bottom