TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,202
Huyo kiboko yake LIBOLO na Mpira Pesa tu. CHADEMA si saizi yake!Rage ametoa hiyo kauli wakati akiwakebehi wapinzani! Ni sahihi? Naibu Spika Naomba Mwongozo!
Huyo kiboko yake LIBOLO na Mpira Pesa tu. CHADEMA si saizi yake!Rage ametoa hiyo kauli wakati akiwakebehi wapinzani! Ni sahihi? Naibu Spika Naomba Mwongozo!
Jinsi alivyoivuruga simba na kuitoa kwenye ramani....ndivyo anavyotaka kuliharibu bunge....na kuendelea kuwatelekeza Tabora....
Yeye amezoea kupambana na Nyange Kburu unadhani ataongea nini bungeni?
Namchukia huyo Msomali hadi ananifanya niichukie club ninayoipenda ya Simba,simply b'z anaiongoza yeye.
Rage ametoa hiyo kauli wakati akiwakebehi wapinzani! Ni sahihi? Naibu Spika ....Naomba Mwongozo! Haina haja ya mwongozo ndugu, wamechoka hao mazuzu wa 'digital', rage kachoka, amebaka bunge.
Mimi kila siku nasema kabla ya kuwapitisha watu kugombea nafasi yoyote lazima tuangalie/tuchunguze uraia wake kwanza. CCM hawana utamaduni huu ndo maana hata WASOMALI wanagombea kupitia chama chao! Huyu jamaa ninawasiwasi naye, kwanini tangu ashinde kiti cha UBUNGE idadi ya ndugu zake WASOMALI wanaoingia nchini mwetu kwa njia za panya imeongezeka zaidi? Isije kuwa ana wasaidia huyu jamaa kwa kuwa mbinu za kuingia nchini ambazo yeye alizitumia kipindi anaingia nchini bila kushitukiwa!Jinsi alivyoivuruga simba na kuitoa kwenye ramani....ndivyo anavyotaka kuliharibu bunge....na kuendelea kuwatelekeza Tabora....Yeye amezoea kupambana na Nyange Kburu unadhani ataongea nini bungeni?
Jinsi alivyoivuruga simba na kuitoa kwenye ramani....ndivyo anavyotaka kuliharibu bunge....na kuendelea kuwatelekeza Tabora....
Yeye amezoea kupambana na Nyange Kburu unadhani ataongea nini bungeni?
Nilishangaa Rage alivokuwa akijibu madai ya Lema kuwa Kikwete ni mdini. alitoa takwimu za mawaziri wakristo na mawaziri waislamu; wakuu wa mikoa; makatibu wakuu nk. Nilishangaa hizo takwimu alizipata wapi muda huo huo kama hakuwa amezikariri muda mrefu kitendo kinachomfanya awe nae ni mdini. maelezo yake yalikuwa pia yakichochea badala ya kusahihisha. naona kufikiri kwake kunatia shaka japo hata wale wa upande wke walikaa kimya. mimi niliwashangaa japo sikupenda kitendo cha kumwita raisi mdini. Nadhani tunahitaj staha katika kum address mkuu wa nchi japo tunaona makosa. msinishambulie, haya ni mawazo yangu maana hata nyumbani tunamheshimu baba kiasi si kwa sabab hana makosa bali kwa sababu ni baba.Rage ametoa hiyo kauli wakati akiwakebehi wapinzani! Ni sahihi? Naibu Spika ....Naomba Mwongozo!