January Makamba: Kamwe CCM haiwezi kuachia dola mwaka 2015

Ukweli unauma sana
Hivi UKWELI ni nini? Ukweli uko wapi? Ukweli unathibitishwa na nani? Anyway, nadhani nauliza maswali magumu kwa watu waliochoka kufikiri. Nyie endeleeni kujifariji kama mwaathirika aliyebakiza mifupa mitupu na hoi kitandani huku akifikiri kupigana masumbwi. Nawashauri muanze matumizi ya ARV feki.
 
hivi ww na akili zako unafikiria kweli ccm 2015 itaondoka madarakani? km mwajifikiria hivyo mnaota ndoto za mchana, watanzania hawako tayari kukabidhi nchi kwa vyama vya kidini na kikabila, mtaumia sana na ukweli huu ila ndio hali halisi

delusion is a belief held with strong conviction despite superior evidence to the contrary. Unlike hallucinations, delusions are always pathological (the result of an illness or illness process). As a pathology, it is distinct from a belief based on false or incomplete information, confabulation, dogma, illusion, or other effects of perception. Delusions typically occur in the context of neurological or mental illness, although they are not tied to any particular disease and have been found to occur in the context of many pathological states (both physical and mental). However, they are of particular diagnostic importance in psychotic disorders including schizophrenia, paraphrenia, manic episodes of bipolar disorder, and psychotic depression.

januari makambaa ana delusions(pengine karithi kutoka kwa mzazi wake).come 2015!!!
 
Kamanda Mtaalam wa Mitaala

Ulitaka January Makamba asemeje mkuu. Ulitegemea aseme lugha inayotofautiana na Wassira au hata mwana CCM yeyote mwingine anayeona namna CCM inavyokata roho. Wacha wapiganie roho yao hao. Ni principle ya kawaida kwa mtu yeyote aliye kufani. Hata anayezama majini hujaribu kushika hata ukucha umwokoe, hawa wanafikiri hata kauli zitawapatia matumaini ya kuwakusanya kondoo wao wanaosambaratika na wengine kuunga mkono vuguvugu la mabadiliko.

Ukisikia kauli za namna hiyo, usiumie tu roho, hapo ulipo ongeza mapambano, chochea moto wa fikra, songa mbele, toa taarifa na maarifa, tafuta mengine, zalisha, sambaza na kusanya. Kaza mwendo, wewe na wenzako wengi au wachache pamoja. Usiogope.
 
Lazima ujiamini kuwa una uwezo na unaweza kushika nchi, Ni lazima kwa chama na wanachama wake kukipigia debe chao kuwa lazima washinde na kushika hatamu , sasa ukisema huwezi nani atakusapoti, sema utaweza hata kama huwezi,,,,!!! Lakini ukweli unao moyoni
 
Akili yako matope,unawasamea watanzania gani?fool brain!!!!!

hivi ww na akili zako unafikiria kweli ccm 2015 itaondoka madarakani? km mwajifikiria hivyo mnaota ndoto za mchana, watanzania hawako tayari kukabidhi nchi kwa vyama vya kidini na kikabila, mtaumia sana na ukweli huu ila ndio hali halisi
 
umenikumbusha ma prof wangu kilonzo et al.fool brain is just psychotic
delusion is a belief held with strong conviction despite superior evidence to the contrary. Unlike hallucinations, delusions are always pathological (the result of an illness or illness process). As a pathology, it is distinct from a belief based on false or incomplete information, confabulation, dogma, illusion, or other effects of perception. Delusions typically occur in the context of neurological or mental illness, although they are not tied to any particular disease and have been found to occur in the context of many pathological states (both physical and mental). However, they are of particular diagnostic importance in psychotic disorders including schizophrenia, paraphrenia, manic episodes of bipolar disorder, and psychotic depression.

januari makambaa ana delusions(pengine karithi kutoka kwa mzazi wake).come 2015!!!
 
hivi ww na akili zako unafikiria kweli ccm 2015 itaondoka madarakani? Km mwajifikiria hivyo mnaota ndoto za mchana, watanzania hawako tayari kukabidhi nchi kwa vyama vya kidini na kikabila, mtaumia sana na ukweli huu ila ndio hali halisi

wewe ni chekechea na topic ya democrasia ya vyama vingi ni ya upper level.soma kwanza uelewe na acha ushabiki mbovu.
 
January Makamba amerudia ile kauli yake ya kuudhi kuwa eti ni Ndoto kwa CCM kuondoka madarakani 2015! Inamaana yeye anawaamulia watanzania au? Hiki kiburi cha viongozi wa CCM lazima kikomeshwe! Amesema hayo leo Bungeni jioni, bado anaendelea kubwabwaja TBC1

Mbona una double standard ndugu? angekuwa mpinzani amesema ni ndoto ccm kushinda uchaguzi 2015 unge react vipi? anzisha mada yalioenda shule siyo maneno ya mtaani mkiwa mnakunywa kahawa unayaleta huku! But i guess you are entilted to freedom of speech. have a good day ndugu
 
Hicho kiburi anakipata wapi? Tatizo letu wa TZ huwa tunasahau shida mapema ndiyo maana mbali na mateso tunayopa ya kunyimwa huduma za msingi angali tukuwaona wachache wakivuna na kuneemeka na rasilimali za nchi hii, bado tumekuwa tunajisahau na kuridhika kirahisi ya vipande vya kanga, nusu mche wa sabuni, kitochi cha pombe nk.
Angalia yeye mwenyewe anayesema hivyo ni mtoto wa aliyekuwa kigogo na sasa mtoto naye ni kigogo. Hilo tunaliona hili la watu kuridishana uongozi kwenye nchi hii?????
 
Hivi akisema CCM itaondoka madarakani 2015, si tutaandika hapa kuwa Makamba atabiri kifo cha CCM?

Guess, what next??
kwa kiongozi mwenye busara hakutakiwa au hatakiwi kutoa kauli kama hizo tena bungeni, nafuu angeongelea sehemu nyingine
 
Januari au fisadi mtoto hajakosea. Atafanya nini iwapo nje ya CCM hana lake? Hawa ni watoto wa wakubwa ambao wangependa walirithishwe nchi ili waendelee kuibaka na wawakabidhi watoto wao nao wawakabidhi watoto wao. Kwa toto kama Januari ambalo limezaliwa na kukuzwa na matunda ya ufisad, pamoja na kusoma baada ya kughushi hajaelimika. Lazima apalilie kibarua chake. Hana jinsi ingawa hata akina Gideon Moi walikuwa na mawazo kama yake lakini mwisho wa siku walitupwa nje na wako wanasota. Tanzania lazima hili litokee si lazima akina Makamba wakubaliane nalo kwa vile ni kiama chao.
 
Hicho kiburi anakipata wapi? Tatizo letu wa TZ huwa tunasahau shida mapema ndiyo maana mbali na mateso tunayopa ya kunyimwa huduma za msingi angali tukuwaona wachache wakivuna na kuneemeka na rasilimali za nchi hii, bado tumekuwa tunajisahau na kuridhika kirahisi ya vipande vya kanga, nusu mche wa sabuni, kitochi cha pombe nk.
Angalia yeye mwenyewe anayesema hivyo ni mtoto wa aliyekuwa kigogo na sasa mtoto naye ni kigogo. Hilo tunaliona hili la watu kuridishana uongozi kwenye nchi hii?????

Mkuu Watanzania wengi bado wamelala usingizi wa pono; tuendelee kuwaamsha
 
Makamba mtoto, akili yake haina akili na imezeeka kuliko ya babake yusufu makamba. shame on him
 
hivi ww na akili zako unafikiria kweli ccm 2015 itaondoka madarakani? km mwajifikiria hivyo mnaota ndoto za mchana, watanzania hawako tayari kukabidhi nchi kwa vyama vya kidini na kikabila, mtaumia sana na ukweli huu ila ndio hali halisi

kwa hiyo bora tuendelee kutawaliwa na ccm chama cha kisultani kinachojibadili tartiibu kwa usiri kuwa cha dini fulani!!
 
Back
Top Bottom