Hivi hawa wateule wa awamu hii wanaendaga Mbinguni kuna kadhaa nimewasikia wakisema " tukienda kule Mbinguni tutafatilia" au " Nyie hamjui ugumu wa Mbinguni" au " kule Mbinguni" Mmmh najiuliza maswali basi nahisi kama kina nanii sijui nani wale mnawajua :):):)
Wivu, pombe na misifa ukiweza kuwe mtii na kuitikia 'yes sweet', akikohoa we itika tu kama juha umeniita mpenzi hapo bi dada utakabidhiwa ATM Card na password haaa ;););)
Well said , mwanaume analialia nini wakati uwezo anao. Ongeza jiko ufurahie uumbaji. Hakuna mwanaume wa mke mmoja ni kujidanganya tu nafsi, pata raha duniani ili mradi ufate taratibu.
Nimewapata vema @ colietha na mkubwa karucee nishaanza mazoezi ya kujitoa hope nitafanikiwa kujitoa kwenye hicho kitanzi, Maombi yenu ni muhimu. Naona mkubwa Vladimir Putin nae kaamua kunifungulia Uzi kabisa wa kunishauri.
Ahsanteni sana wote mliochangia kwa ushirikiano. Nimeanza kujihisi huru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.