Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

Huyu Samaki Anaitwaje Wakuu. Thanks.

Jiwe la baharini.
Likitoka baharini litapanda mbinguni kuwatawala Malaika.

Mtoa mada, wewe mchochezi.
Hivi hawa wateule wa awamu hii wanaendaga Mbinguni kuna kadhaa nimewasikia wakisema " tukienda kule Mbinguni tutafatilia" au " Nyie hamjui ugumu wa Mbinguni" au " kule Mbinguni" Mmmh najiuliza maswali basi nahisi kama kina nanii sijui nani wale mnawajua 🙂🙂🙂
 
mungu akamuumba binaadamu halafu baada ya kumuumba kamsifia binaadamu kwamba anasura nzuri. vipi wewe hujui hata kuumba kitu halafu unamkashifu mungu , na hapohapo wewe unategemea kupata watoto ole wako mungu atakuletea watoto wenye sura kuliko ya huyo samaki siku hiyo utalia na utakuwa umesahau kama ulimkashifu binadamu mwenzako. hao wote mnaotoa kashfa jiangalie vizuri utakuta kila mmoja ana kasoro achana na dharau

Hujajibu swali mkuu.

Mie nimeuliza uniambie jina la huyu samaki kwani jina lake limekaa kikashfa kashfa kwani mkuu...?.
 
samaki mataputapu

Mataputapu si ni zile pombe chafu mkuu. Inaonyesha huyu samaki wana uhusiano na kileo basi ila sjajua ni kilevi gani kiongozi.

Ahsante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom