Msaada: Namna ya kukausha miti

alpelpius

Senior Member
Sep 7, 2017
120
66
Habari za muda wakuu,

Naomba kwa anaejua namna ya kukauka miti maana nilitoka nyumbani baada ya miaka miwili nikarudi sasa miti imekuwa mingi na haina kazi yeyote kuyachimba ni gharama kubwa labda greda ndio litaweza.

Naomba mwenye ujuzi anisaidie.
 
Habari za muda wakuu naomba kwa anaejua namna ya kukauka mamiti maana nilitoka nyumbani baada ya miaka miwili nikarud sasa miti imekuwa mingi na haina kaz yeyote kuyachimba ni garama kubwa labda greda ndio itaweza naomba mwenye ujuzi anisaidie.
Kuna njia nyingine zaidi ya kuiweka juani mkuu?
 
Watu tunahimiza mpande miti,wewe unataka uikaushe !!! Upo wapi nikuletee watu wa mazingira wakuchukulie hatua ? (Natania)
 
Tafuta mbolea ya SA. Bandua ganda kwa mviringo kama pete upana wowote ule bora liwe mviringo. Weka hiyo mbolea juu ya hilo pengo. Baada ya 12 hrs huna mti tena unapukutikia chini umeoza kabisaaaaa. Muda si mwingi shina lake huoza hadi mizizi
 
SA ni mbolea ya namna gani?
 
Tafuta mbolea ya SA. Bandua ganda kwa mviringo kama pete upana wowote ule bora liwe mviringo. Weka hiyo mbolea juu ya hilo pengo. Baada ya 12 hrs huna mti tena unapukutikia chini umeoza kabisaaaaa. Muda si mwingi shina lake huoza hadi mizizi
Asante sana iyo mbolea gan mkuu
 
Tafuta mbolea ya SA. Bandua ganda kwa mviringo kama pete upana wowote ule bora liwe mviringo. Weka hiyo mbolea juu ya hilo pengo. Baada ya 12 hrs huna mti tena unapukutikia chini umeoza kabisaaaaa. Muda si mwingi shina lake huoza hadi mizizi
Brand new idea aisee.mh is that true???
 
Habari za muda wakuu naomba kwa anaejua namna ya kukauka mamiti maana nilitoka nyumbani baada ya miaka miwili nikarud sasa miti imekuwa mingi na haina kaz yeyote kuyachimba ni garama kubwa labda greda ndio itaweza naomba mwenye ujuzi anisaidie.
Sema ni aina gani ya miti hiyo?
 
Nenda duka lolote la mbolea waambie wakupe SA. Sulfate of Ammonia. Haya, kiswahili kingine

Jus try it and see. Ni maajab hufanyika kwani mambo hubadilika badala ya kukuzia huua
Anyway I'm gonna try it boss to see its efficiency
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom