Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Mod Two apigwe BAN huyu mdau. Na thread ifutwe mara moja.
Huyo samaki anaitwa shetani mkuu.Anapatikana bandari ya darisalama tu maeneo ya ferry ndani ya jengo moja jeupe linafanana na majengo ya zamani ya wakoloni.
Magufish, sifa za samaki huyo hupenda sana ubabe na kujiona ameumbwa kutawala wengine bila kubughudhiwa. Pia anaamini akifa majini anaweza kuendelea kutawala ardhini. Yaani Magufish ni selfish na foolish
Hahaha aje atueleze vizuri maana ndio avatar yakeandjul ukuje huku