Recent content by swaumunaswiru

  1. S

    Nafasi za JKT

    Jaman let us be serious,mwenzenu kauliza nafasi za jkt zinatoka lini,ni issue ya kumjibu zinatoka lini ma wala sio kejeri za ajabu.....
  2. S

    Nafasi za kazi zaidi ya 600 Uhamiaji

    Wameshaita interview?
  3. S

    Nisaideni hilo swali la sheria

    Cheki manual ya law of contract ya NDITI,Majibu utapata.
  4. S

    Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura

    Jaman,mwisho wa kuomba usimamizi wa kura,kwa wilaya ya kibaha vijijini,ilikuwa tarehe 2.9.2015,saa nane...but sijajua sehemu nyingine.
  5. S

    JKT wa kujitolea nafasi zinatoka lini tena?

    Mwezi wa kumi na mbili mwakani.
  6. S

    Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

    Safi....ndugu nice suggestion.....
  7. S

    Waliochaguliwa usaili Jeshi la Polisi, graduate 2014

    Sasa hizi nafasi ni zip....ndugu ....au ni za watu waliomba lini?
  8. S

    Waliochaguliwa usaili Jeshi la Polisi, graduate 2014

    Jaman watu wa law mbona siwaoni....?mie naitwa naswiru....university of iringa...kama mtu ataniona naomba anijuze hapa.....
  9. S

    Uhamiaji vs JWTZ

    For sure,mie ningependa kumshauri aende tu jwtz,coz uhamija kidogo maslai sio kama jwtz,mzee wangu ana mwenge na nyota na yupo uhamiaji but maisha yake ni ya kawaida sana,lakin watu wangine ambao wapo jwtz na wana level ya elimu sawa na mzee wangu wapo mbali sana kimaisha,ukweli watu wa jwtz...
  10. S

    Vacancy at TRA

    Tujaribu jaman...
  11. S

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sasa jaman hizo no mbele ya hizo fani,ndo idadi ya watu ambao wanahitajika?
  12. S

    Mshahara na hela ya kujikimu

    Jamani, sie walimu wapya tunapewa lini hela ya kujikimu na mshahara wa mwezi wa tano? Maana tumeshariport kazini, hali ya kiuchumi sio nzuri, tunaomba kufikiriwa.
  13. S

    Nina diploma ya sheria, natafuta kazi

    Arusha,monduli wametangaza afisa mtendaji wa kijiji,nafikiri hiyo unaweza fanya,coz wana itaji watu wenye diploma ya sheria...
Back
Top Bottom