For sure,mie ningependa kumshauri aende tu jwtz,coz uhamija kidogo maslai sio kama jwtz,mzee wangu ana mwenge na nyota na yupo uhamiaji but maisha yake ni ya kawaida sana,lakin watu wangine ambao wapo jwtz na wana level ya elimu sawa na mzee wangu wapo mbali sana kimaisha,ukweli watu wa jwtz wana maisha mazuri sana,hususani wale maafisa,huo ndo ushauri wangu.
Maisha n kujipanga tu hakuna cha jw wala uhamiaji ni wewe mwenyewe ukishajipanga tu basi na malengo,,,wapi maofsa lakin maisha ya kawaida mtaani zaid ya prestige tu,,,life z all about how u plan it,,kote kote freshi tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.