Law enforcement ingebidi wachukue nao wengi
hongereni vijana wa law enforcement a.k.a police science nendeni mkalitumikie taifa kutokana na taaluma yenu na kuleta positive outcome kwa nchini nadhani wakati mnasoma mlijua changamoto ambazo jeshi hili linaikabili.
pongezi pia kwa IGP mstaafu Said Mwema kwa uono wa mbali na kuanzisha hiyo course kwa kushirikiana na UDSM pia Sasa Ernest Mangu kwa kuruhusu askari kujiendeleza hii ikiwa ni kozi ya kipaumbele cha jeshi hilo.
Mungu awatangulie kule CCP