Walau wewe umapatia kkn tusubiri muda ukifika mambo yatakuwa kama yalivyokuwa kwa mgombea wa urais upande wa ccmHapo aliyebaki ni Mwakyembe, serikali itakwenda sawia.
Niaminini mimi,waziri mkuu katika serikali ya Magufuli ni Mwigulu Nchemba.
Reserve my words
magufuli kashinda lini uchaguzi mpaka tuanze kujadili waziri mkuu wake last time i check uchaguzi ni October 25
kweli ikisimama pandalast time mwenyewe
Waziri mkuu bila kumung'unya maneno atakuwa AGREY MWANRI. CCM wanamtegemea sana MWANRI katika kujibu hoja Bungeni na ndiye waziri mkuu ajaye.
Kinana jamaa yuko vzuri
Mkuu wangu ukitaka Tanzania hii watu wanyooke, tunamhitaji Magufuli na Mwanri wenye mamlaka kamili bila kuingiliwa...