Nina diploma ya sheria, natafuta kazi

Nina diploma ya sheria, natafuta kazi

Bila unafiki wala kupepesa macho;kuna nafasi imetoka ya ukarani wa jaji mmoja wa mahakama ya rufaa tanzania,sifa ni kwamba uwe na diploma ya sheria,degree na kuendelea!!

Ila uwe na million mbili mkononi!ndio masharti muhimu hapa Tanzania,ukiwa nazo njoo PM

Ndugu yangu hiyo milion mbili ntapata wap ilhali sins Kazi? Sasa kama Mimi ndo natoa hela hapo SI ntakuwa nafanya Kazi bure Tu.
 
Bila unafiki wala kupepesa macho;kuna nafasi imetoka ya ukarani wa jaji mmoja wa mahakama ya rufaa tanzania,sifa ni kwamba uwe na diploma ya sheria,degree na kuendelea!!

Ila uwe na million mbili mkononi!ndio masharti muhimu hapa Tanzania,ukiwa nazo njoo PM

Mtu sina Kazi milioni mbili ntapata wap ndugu yangu, Tanzania nchi yangu
 
Jamani nimerudi tena hakuna nafasi popote yenye kuhusiana na hiyo elimu hapo juu
 
Arusha,monduli wametangaza afisa mtendaji wa kijiji,nafikiri hiyo unaweza fanya,coz wana itaji watu wenye diploma ya sheria...
 
Kiukwel nakushauri kasome degree kisha school of law kisha njoo mtaani, wasomi ni wengi sana siku hizi. Kale kitabu dogo.
we naye umechemka kweli!! masterz, ni masters, diploma ni diploma. kama uliona sifa kusoma hadi masters ndio utafute kazi, ulipiga mahesabu mabaya hiyo ilikuwa zamani mkuu!! kwa kuwa kazi zilikuwa bwelele, nimeona watu wengi wana diploma/degree ndio hata nafasi za kazi zinapotoka zinakuwa nafasi nyingi, kwani ndio watendaji, sasa hizo nafasi za masters inakuwa moja!! serikalini watu wenye hadi certificate ndio ajira zao zinakuwa nyingisana,tena masters yenyewe hata uzoefu hamna!!! mambo yamebadilika mkuu, Siku hizi unakuta mtu anasoma degree, zinatoka nafasi za kazi anaomba labda kwa kutumia cheti chake cha diploma, akifanikiwa kupata kazi, anaailisha chuo, anaenda kufanya kazi kusoma badaye, mifano hiyo ninayo,. mtu na masters yako unapewa nauli na dogo mwenye certificate!!! kweli maisha haya!!
 
Angalia katika Ajira zetu Monduli District Council wametangaza nafasi za kazi unaeza kujaribu
 
Angalia ktk ajira zetu Monduli District Council wametangaza kazi jaribu kuapply, naona level hyo unafit.
 
Nina diploma ya sheria jamani, tafadhali mwenye kujua wanapohitaji watu au Kazi zinazohusiana na law,serikalini, shirika, hata N.G.o, nipo tayari kufanya Kazi yoyote., mtaani sio pazuri hata kidogo jamani.natanguliza shukrani

nitafute 0768577654
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom