Hivi Kumbe nawe akili yako finyu, hv hata picha unashindwa kutazama! Et jipu, huoni majipu yanayotumbuliwa je na mh. Lowassa umeskia kaguswa au kuongelewa? Kama lowassa ni jipu kwann pombe asimtumbue? Halafu unajiona unajua kweli, kama ni elim haijakusaidia ww, zero brain kabisa ww, unafikiria...
Hamna kitu ktk gvt ya ccm na MAGUFULI wake, ila ukitaka kujua ugonjwa wa ccm umelia wapi litajwe jina LOWASSA utaona povu zitakapowaka maana wanajua alichowafanya, pombe nae chenga tu anashindwaje kutatua mgogoro wa zenj! I hate you, my president :eek::eek::eek:
Hata hiyo mahakama basi itajengwa! Tutabaki kuambiwa mahakamani ya mafisadi itajengwa mpaka miaka mitano itaisha ili wabaki kumsema mzee wa watu maana wakifungua hiyo mahakamani ya mafisadi watafungana wao kwa wao na lowassa kubaki bila hatia hivyo watakosa la kumsemea maana wanamuonea tu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.