MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kwa sasa suala la mgogoro wa kisiasa Zanzibar linachukuliwa kimzaha sana lakini athari ya kulichukulia kimzaha linaweza kutugharimu sana kuliko ambavyo imewahi kutokea.
Kuna huyu mtu anaitwa Mohamedi Seif Khatibu binafsi nimegundua kua sio mtu mzuri hata kidogo, nalisema hili kufuatia makala zake mabali mbali alizoandika huyu bwana kwenye magazeti ya CCM, ni aneandika maneno yanayodhihirisha chuki,ubaguzi, hofu, ubinafsi, uchu wa madaraka uliopitiliza.Kuwaita wenzako masultani ilihali mnaishi nyumba moja, mnakula chakula kimoja, mnasali msikiti au kanisa moja ni matusi matusi na ni ubaguzi ubauguzi usiostahili kuvumiliwa na ni wa kukemewa kwa nguvu zote! Hii ni dhambi kubwa sana ambayo kwa hakika haitamwacha Salama huyu mtu.
Huyu Mohamedi Khatibu alikua mtu nyeti sana ndani ya Chama na kiongozi mwandamzi! Inamaana kwa haya anayoyaandika ndani ya magazeti hayo ya Chama ni kwamba anafunguka kuyatoa hadharani yale walivyokua wakiyazungumza ndani ya Chama yeye akiwa kiongozi mwandamzi?Tukubaliane kua vyanzo vya Migogoro Zanzibar siku zote vyanzo vyake ni pamoja na huyu bwana na maadui wakubwa wa muungano kwa sasa sura zao ndio tunaziona hadharani, Mungu wanawaumbua sasa!
Miaka ya nyuma kumekua kukitokea migogoro ya kisiasa kisiwani humo lakini sura ya mgogoro huu inaweza kuwa tofauti kabisa kisiasa tofauti naigogoro mingine ya nyuma.
Ikumbukwe imekua ikisemwa kila awamu Chama cha CUF hua kinaibuka na ushindi lakini CCM hua wanatumia nguvu kulazimisha ushinda na ndio maana migogo imekua ikiibuka mara kwa mara hali iliyowapelekea kuanzisha Serikali ya umoja wa kitaifa. Hapa leo ni wazi kua ilionekana kua CUF walishinda mpaka hata jumuiya za kimataifa zilikiri kabisa kua uchaguzi wao ulikua huru na wa haki ila sasa CCM kama kawaida yao wanataka kutumia Mabavu yao tena kama walivyo zoea, tena kulazimisha uchaguzi urudiwe! Hii hali haijawahi kutokea tangu muungano huu uanzishwe sasa tutegemee mbeleni? Hivi ni kweli toka moyoni kwa hali hii tunajinasibu tutegemee Tanzania mpya kweli?