Lowassa anaishi kama rais nje ya Ikulu

Lowassa anaishi kama rais nje ya Ikulu

Mmekosa mada
Mnasema rais wenu
Mara kama rais
Kwahio ni Mdoli unafanana kuwa kama Rais
Hahaha Nyumbu nao full shangwe Du!!!
 
YAANI HAWA NIPASHE NI JIPU HAWASHESHIMU KABISA MAMLAKA.

WEWE FIKIRI LEO MAGAZETI KARIBU YOTE HATA LA WATANI WETU TANZANIA DAIMA FRONT PG YAMEANDIKA SIKU 100 ZA RAIS MADARAKANI. HATA KAMA WAMEANDIKA KIAINA ANGALAU WAMEANDIKA.

HAWA NIPASHE WAMEKUJA NA BANDIKO AMBALO HATA SIELEWI MANTIKI YAKE.MKUJUA KUSOMA MAJIRA NA NYAKATI NALO NI JAMBO LA MUHIMU KTK MAISHA.

Queen Eather

Hawa nipashe wameishiwa Head line au ndio wanampa moyo mzee au wanataka waendelee kupata posho Kutoka kwa mzee
 
Kwahiyo unakubali kuwa Lowasa kaiba sana hela za watanzanis akishirikiana na huyo unayemsema kuwa ni Msoga?
Kumbe inaruhusiwa kuwafisadi watanzania provided kuna mtu kashirikiana naye?
Yaani we roho yako itatulia ukisikia kuwa na mzee wa Msoga yuko huko?
Inatakiwa usimamie kodi zako kwa yyte aliyehusika bila kujali ni ccm au wa chama chochote.....
miniko strict ndg
ila lowassa ndo man of th pple
 
Nyota ya huyu mtu kila mtu ataitamani, hata Lizaboni kila akilala anatamani ndiyo maana kila kukicha yeye anaandika tu habari za huyu jamaa kutafuta nyota yake.
Kujifariji na kujipa moyo nikitu kizuri sana kinafariji moyo, na mimi nimejifunza kumbe kunamaraisi lakini hana ikulu.
 
Ni kweli anaishi kama rais, alitamani msafara wa kirais kaupata unaofanana nao,unaongozwa na boda boda. Alitamani mialiko ya ugeni rasmi bado kanisani kwetu anaalikwa tunapopokea zawadi. Tumemwalika kama mgeni mashuhuri Sikh ya kumsimika askofu mkuu mpya japo mgeni rasmi atakuwa Majaliwa. Alitamani mkewe awe first lady badala ya mke wa Slaa kawa first lady wa Mumewe kula kwa maigizo magengeni.
 
Huwa najiuliza huyo lowasa angekua.(hatokaa awe) raisi,baraza lake lingendwa na wabunge gani? Nahisi lingechekesha sana
w/ mkuu... mbowe
mambo ya ndani...Lema
habari...sugu
majeshi...kubenea
..........mmh nsaidieni
 
Rais wetu ambaye hayupo Ikulu lini ataanza kukagua shughuli za maendeleo kwenye masoko ya Tandika na Manzese na kupanda daladala za gongolamboto.
 
Huwa najiuliza huyo lowasa angekua.(hatokaa awe) raisi,baraza lake lingendwa na wabunge gani? Nahisi lingechekesha sana
w/ mkuu... mbowe
mambo ya ndani...Lema
habari...sugu
majeshi...kubenea
..........mmh nsaidieni
Mmmh! kumbe bora CCM!!!
 
Hao ni vibaraka wa ufipa. wanamliwaza kisaikolojia baada ya kumtapeli mabilion yake na kumuaminisha kwamba anaweza kuiangusha CCM..
CCM ITAKUA MADARAKANI MIAKA 8000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000000
Kweli wewe hujui siasa CCM haiwezi kuishi kwa muda mrefu kiasi hicho maana ikifika saturation point hata ufanye mema vipi kwa wananchi watakukataa tu. Kumbuka Libya huduma za jamii walizokuwa wanapatiwa na serikali. Pia CCM tunashinda kwa sheria mbovu za uchaguzi na katiba yetu iliyompa rais kama mfalme na ikitokea wapinzani wakashika nchi kwa katiba hii CCM inashuka daraja hata top four ya vyama bora haiingii
 
kwanini asiishi kama rais wakati amelifilisi taifa??
Mahakama ya mafisadi ikiiva basi apelekwe mahakamani maana asipopelekwa sijui 2020 mtawaambia nini Watanzania maana 2015 hotuba za CCM 90%ilikuwa kumtukana Lowassa
 
mengi hana lolote......na vyombo vyake vya habari!!!! vimekaa kichagachaga weew watangazaji wake wengi ni walewale from kaskazini
Vipi Godwin Gondwe aliyeomba nafasi ya kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM.Ukiwa CCM lazima uwe bonge la nyumbu maana hata ITV ambayo haipendelei kwa habari bado mnamtukana Mengi.Kipindi cha Kikwete Mengi aliwataja mafisadi papa mkamtukana humu leo Magufuli anatumbua chunusi mnashangilia yaani fuata upepo tu....
 
GRANDIOSE DELUSIONS!!

ORODHA YA MARAIS NJE YA IKULU:

Rais wa wasafi
Rais wa TFF
Rais wa IFM
Rais wa UDOM
Rais wa UDSM
Rais wa CBE
Rais wa SUA
Rais wa MZUMBE
Rais wa MUHAS
Rais wa st JOHN.......

Rais wa wauza mitumba memorial

Rais wa Manzese

hebu tuongezee list
Rais wa mioyo ya Watanzania
 
Hao Milioni 8 Ni Wale Tu WALIOPIGA KURA Ila Karibia Watanzania WENYE AKILI TIMAMU Milioni 42 Walimuunga Na Wanamuunga Mkono Rais Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI Na Kama HUTAKI SHAURI YAKO NA SIKULAZIMISHI. Hata Wewe Mwenyewe Hao Milioni 6 Umewapata Baada Ya WALE WATU WENU WA IT Kufanya YAO Hadi WALIPOSHTUKIWA Na Vinginevyo Lowassa ANGEPATA Watu 350 Tu. Labda Nikuulize Tu Mkuu Hivi WALE VIJANA WENU WA IT MLIOWAWEKA KUIBA KURA KIMTANDAO SASA HIVI UNAJUA WAKO WAPI? Mtanyooka Tu!
Ccm ndio walio iba kura kwan vituo vya kupigia kura vinaonyesha hivyo, swali kwako je hata vituo navyo ni mtandao ulitumika kuonyesha lowasa kapata kura nying?
 
Mahakama ya mafisadi ikiiva basi apelekwe mahakamani maana asipopelekwa sijui 2020 mtawaambia nini Watanzania maana 2015 hotuba za CCM 90%ilikuwa kumtukana Lowassa
Hata hiyo mahakama basi itajengwa! Tutabaki kuambiwa mahakamani ya mafisadi itajengwa mpaka miaka mitano itaisha ili wabaki kumsema mzee wa watu maana wakifungua hiyo mahakamani ya mafisadi watafungana wao kwa wao na lowassa kubaki bila hatia hivyo watakosa la kumsemea maana wanamuonea tu kwenye Richmond akati wao ni mafisadi magwiji na hakuna asiyefaham HILO,hivyo mahakamani ya mafisadi itabaki kuwa historian tu
 
Hata hiyo mahakama basi itajengwa! Tutabaki kuambiwa mahakamani ya mafisadi itajengwa mpaka miaka mitano itaisha ili wabaki kumsema mzee wa watu maana wakifungua hiyo mahakamani ya mafisadi watafungana wao kwa wao na lowassa kubaki bila hatia hivyo watakosa la kumsemea maana wanamuonea tu kwenye Richmond akati wao ni mafisadi magwiji na hakuna asiyefaham HILO,hivyo mahakamani ya mafisadi itabaki kuwa historian tu
Mkuu siasa ndivyo ilivyo ukiteleza tu wanasiasa wanatembelea humohumo. Nilimsifu Pinda kipindi cha Escrow maana angejihuzulu tu naye tutamwita mzee wa escrow huku Maswi na Muhongo wakipeta. Binafsi nimeamini Lowassa yuko clean maana kipindi cha kampeni nilitegemea kashfa nyingi zaidi kumbe wakabaki na Richmond
 
Kwa nini CCM hawataki kusikia neno tume huru ya uchaguzi isiyoteuliwa na moja wa mgombea?
Ccm ndio walio iba kura kwan vituo vya kupigia kura vinaonyesha hivyo, swali kwako je hata vituo navyo ni mtandao ulitumika kuonyesha lowasa kapata kura nying?
i
 
Back
Top Bottom