Watanzania tuitangulize physics mbele

Watanzania tuitangulize physics mbele

Wewe ni mpinzani determined to make the president uncomfortable.
 
This will amuse you;
Pressure P is defined by the amount of Force F on a certain area A .
P=F÷A
The International unit for pressure is the Pascal.
Andrew nilichouliza ni thermodynamics ni Fizikia na aliyepo ni mtaalamu wa Kemia wapi na wapi?. Labda Metaphysical.

Paskali

 
Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:

theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.

Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
Bangi siku hizi imeshuka bei sana? Magufuli anaongeza value wapi kupitia hayo uliyosema?
 
This will amuse you;
Pressure P is defined by the amount of Force F on a certain area A .
P=F÷A
The International unit for pressure is the Pascal.
Mkuu Andrew, afadhali umenipa tafsiri ya jina langu la mwanzo, maana lile la pili lilitafsiriwa mahali na kupelekea watu kutolitumia tena jina langu la ubini na badala yake wanatumia ile tafsiri tuu!.

By the way na mimi ni Mwanasayansi.

Paskali
 
Andrew Nyerere, ni vigumu sana baadhi ya watu kukuelewa. Si Tanzania pekee inayohitaji sana physics bali ni Afrika nzima, isipokuwa hata hiyo physics inayofundishwa hapa kwetu haiwezi kuleta mapinduzi ya technolojia kwa sababu wanafunzi wanafundishwa historia ya sayansi. Hivi unafikiri, itawezekana kwa nchi kama yetu hii ambayo walimu wanawafundisha wanafunzi kufoji practical? Tunahitaji kwanza mtazamo mpya juu ya masomo ya sayansi. Isiwe huu mtazamo tulionao wa kuwafundisha wanafunzi ili wafaulu mitihani. Wakati wenzetu leo wanapambana na jinsi ya kumlaza binadamu kwa siku 180 kwa ajili ya kupunguza gharama za safari ya kwenda Mars sisi hata baloon tu hatujawahi tengeneza.

Magufuri uliyemtaja sidhani kama ana mpango wowote na teknolojia, nikimtazama namuona kasinzia usingizi wa pono. Ukitoa Afrika kusini, nchi nyingi za Afrika haziwazi kuendelea kwa teknolojia nchini mwao. Tutaendelea tu ku-import technology.
 
Back
Top Bottom