Ukawaida wake ndio ulileta mabadiliko makubwa sana katika tasnia ambao hao waigizaji wenye viwango walishindwa.
Kwani Diamond ni muimbaji mzuri kiasi cha kusema anamzidi hata Beka Ibrozama?
Ila utofauti wake ndio unawaweka mbali na wengine.
Kanumba kafa na Bongo movie yake.
Mzee Yusuph kastaaafu na Taarab yake.
Mpaka kuja kumpata wa kuziba mapengo hayo, sijui kama atatokea ndani ya karne hii.
Shekh Yahya siku usipokuja huku utanihuzunisha sana.
Nitapitisha mchango jf nzima tukuchangie kama utakosa hela ya bundle.
Nimependa ujasiri wako wa kula matapishi yako mwenyewe.
Kama nilivyo siwaamini mamlaka ya hali ya hewa Tanzania, ndivyo ambavyo siwaamini wapiga ramli wa jf.
Maana tangu tumeanza mzunguko wa kwanza mpaka tunaumaliza hamna utabiri ulotimia.
Kila siku wanatubadilishia watu wa kutupiga matokeo yake wamekosa mtu wa kutuletea.
Watu wengi hawaipendi Liverpool sijui kisa nini?
Huku kutokufungwa mechi 18 ndio kunawafanya mkose amani hata mkashindwa kula vizuri pilau zenu za christmas? Au kuna jengine nyuma ya pazia?
Wakati mnaombea Liverpool ifungwe, mna uhakika kuwa timu zenu zitakuwa hazipotezi mechi kwa kipindi chote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.