Recent content by sushiii

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ester Bulaya: Serikali iache kutumia nafasi yake kukopa fedha kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii na kufanyia miradi isiyo na tija

    Viongozi wa vyama vya wafanyakazi hivi wamekufaaaa....
  2. S

    JamiiForums Tanzania Karagwe: Mkuu wa Wilaya aamuru kijana wa miaka 12 ashikiliwe na Jeshi la Polisi kwa kosa la kupandisha bendera ya Canada kwenye makazi

    Akili chafu ama matope.....hawa viongozi wanapaswa wajitambue haraka sana na waachane na siasa maji taka...magari mangapi Dar watu wameweka bendera za mataifa mengine!? Kama Israel, USA. Zamani wakati watu walikuwa wanavaaa bendera za USA kichwani...they barley understand freedoms rights of...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Atakayeigusa Saudia, tutambomoa na kumfuta duniani

    Shombo la waharabu mna tabu sana ...na nyie mnajiona waarabu sio.....
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nimewasikiliza viongozi wakuu wastaafu. Inasikitisha sana

    Ukweli wa Magafuli na baada ya kutoka madarakani sasa hv watu wanacheza mdundo wa bendi....kama reggae, watu wanacheza reggae, mkono kinywani...akitoka atapata ukweli. Lakini swali, why all this!? Kuna lengo gani limefichwa la kila siku kumpamba na kumwinisha kwa watu kwa propaganda? Mbona...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume ni mwanasheria asiyezifahamu sheria

    Not every law is valid law brother...some laws though we practice they infringe human rights enshrined in the constitution...a human has an inherent right to decide what to do with his or her body so long he does not affect another people right...so ushoga ni jambo binafsi....sioni shida so long...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Kinondoni, Daniel Chongolo aagiza kukamatwa kwa Wanaume wanaonunua Changudoa

    Nahisi hawa wakuu hawajui hata nini maana ya maendeleo na wanapaswa kufanya nini na kuachana na nini, uchangudoa ulikuwepo, upo na utakuwepo milele na Nchi zinging ni sehemu ya utalii...waache usani na wawaze masuala ya msingi kama maji, elimu bora, usafiri bora wa umma na barabara....si...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli 'kutema madini' kuhusu uchumi UDSM tarehe 1/11/2018

    Nimeangalia rariba, sioni kama kongamano hilo linaruhusu majadiliano kutoka kwa washiriki, ni kama vile watu wanatoa mada zao mmoja baada ya mwingine then linakwisha. Inngependeza mada zinazojadiliwa zipewe fursa ya uchangiaji kutoka kwa washiriki wote pamoja na maswali....kuzungumza tuu pasipo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

    Anasema nilikuwa nakutafuta sana wewe....sasa umeingia kwenye 18 zangu....
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu binadamu na Mungu

    Brother hujaelewa...maana yake ni kuwa...kama wewe ni nyoka mfano, dhumuni kuu la kuzaliwa aina hiyo ya nyoka (specie) ni kuendeleza aina ya huyo nyoka...unapoona kiumbe chochote duniani....nyuma yake kuna millions ya viumbe kama hicho vilikuwepo na vishakufa...so unapozaliwa ukakua, ukazaa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu binadamu na Mungu

    That process ni kama circle...na ipo kwa kila kilicho hai, mti, paka, samaki, kuku etc...ni kuzaliwa kuzaa kufa....waliozaliwa...kama mti utazaaaa...then utafa...hiyo ndiyo true process
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu binadamu na Mungu

    Dhumuni la uhai ni kuendeleza uhai.....regeneration
  12. S

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kamanda Sirro anajua alipo Mohammed Dewji "MO"

    Nimeangia hizo picha and was extremely shocked, swali IGP amezitoa wapi!? Kwasababu picha zina angle na CCTV footages always zinapigwa on inclined angle or vertical angle na hakuna CCTV footage inaweza kupigwa at all angels...mpele, pembeni na nyuma. Pia hiyo gari ni kama ilikuwa imepakiwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Acacia Yatutangaza Vibaya Duniani, Yadai Tanzania Kuna " risks to the safety and security of people"!, Mwekezaji Gani Ata Invest Kwenye Such Risks?!.

    Mwekezaji gani atakuja na atawekeza katika Nchi ambayo tajiri wake mkubwa kabisa, anatekwa katika mazingira yanayoacha maswali millioni na Serikali haioneshi kushtushwa hata kidogo na tukio hilo la utekwaji na kuona ni kitu cha kawaida kabisa.....kiufupi it will take next 20 years to build that...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya MeTL "Mo Dewji" yakanusha habari ya kufunga Viwanda vyake tarehe 20 Oct 2018

    Hii nchi sasa inatupasa kuwa na sauti moja..hatuwezi kiendelea kuishi chini ya utawala wa kishamba na kijinga namna hii. Sikuwahi kuwaza kuwa katika Karne hii ya 21 bado tunapata viongozi wenye uelewa mfupi usio na maono namna hii. Tanzania ya sasa mtu mjinga ni form four ambapo in seventies...
Back
Top Bottom