if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
endeleeni kukufuru,
Sasa mie nikifa hapo huo uhai unaendelezwa vp? akizaliwa mtu mwengine huo ni uhai mwengine na si mwendelezo wa uhai wangu. Hapo mwanzo sikuwa na uhai,nikajakuwa na uhai na baadaye ukaondoka huo uhai. Hapo hakuna kiendeleacho.Dhumuni la uhai ni kuendeleza uhai.....regeneration
Kivipi mkuuendeleeni kukufuru,
Sasa mie nikifa hapo huo uhai unaendelezwa vp? akizaliwa mtu mwengine huo ni uhai mwengine na si mwendelezo wa uhai wangu. Hapo mwanzo sikuwa na uhai,nikajakuwa na uhai na baadaye ukaondoka huo uhai. Hapo hakuna kiendeleacho.
Ulimwengu unae kiongozi, Probably anaweza kuwa 'MUNGU', ila kwenye sifa za 'MUNGU' waandishi walikosea kumtafsiri.
Unaweza kuwa sahihi, Hiyo regeneration yaweza kuwa purpose of life kwa yule tu aliyetuleta ''MUNGU'(Kama yupo), Ila purpose ya wewe kuwepo ulimwenguni ni kuitafuta furaha yako kwa gharama yoyote ile.Brother hujaelewa...maana yake ni kuwa...kama wewe ni nyoka mfano, dhumuni kuu la kuzaliwa aina hiyo ya nyoka (specie) ni kuendeleza aina ya huyo nyoka...unapoona kiumbe chochote duniani....nyuma yake kuna millions ya viumbe kama hicho vilikuwepo na vishakufa...so unapozaliwa ukakua, ukazaa, umetimiza dhumuni la maisha, just wait for ur day and go....but watoto wako wanaendeleza aina ya uhai wa kiumbe hicho....hii formula ipo kwa viumbe vyote duniani no matter ukubwa wake, aina au mfumo wa uzazi, nothing last forever....uwe mti, mnyoo, nzi na binadamu hana utofauti, ni kiumbe tuu na wewe, kila kiumbe kimebeba historia ya kizazi cheki miaka hata 10000 nyuma....simenti tunayojengea ni mabaki ya Wanyama hasa mifupa walioshawahi ishi wakafa....sasa imerundikana hadi inajenga mwamba.....regeneration...is true purpose of life....
Ha haa haaa Yuko kwenye Chumba cha Uumbaji, Akitoka atakuja.Mungu wetu wa pili Kiranga yuko wapi?
Nakuunga mkono hapo kwenye option ya kuchagua kuja duniani. Mi kweli kabisa kutoka moyoni, sipendi kuwa mnafiki yaani NISINGEKUBALI KUZALIWA.Dhumuni la maisha nikutumika na huyo aliyetuweka hapa kwaajili ya mipango yake anayoijua yeye Mwenyewe ..
sio kutafuta furaha Yako wala kumuabudu huyo aliyetuweka "... Kila binaadamu aliyehai yupo hapa kwaajili ya kutumika kama mzalishaji wa binaadamu wengine " na tukifa tunaenda kuendeleza huo uzalishaji ".. ifahamike kuwa tunakula tuna kunywa mwili unapata nishati na madini toka kwenye ardhi na mwisho wa siku ardhi inayahitaji tena hayo madini ili iendelee (ndio maana lazima tufe ) kuwahudumia watu wengine watakao endelea kuwepo na watakao zaliwa ".. Inshort tuna tumika bila ya kujijua "
so sad nimezaliwa bila ruksa yangu " laiti kama pangekuwa na options ya kuulizwa kuhusu kuja duniani nisinge kubali
Kama kufa ni mwanzo wa maisha mapya, na kuzaliwa ni nini?Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo:
*_Nini chanzo cha uhai?_*
*_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_*
*_Dhumuni la kuishi ni lipi?_*
*_Je kifo ndio mwisho wa bin adam?_*
*_Je kuna maisha baada ya kifo_*
Kutoka na bin adam kuwa na ukomo katika kufikiri kwake akaja na majibu ya fuatayo:
*Lazima ulimwengu unacho chanzo, Na hicho chanzo ndicho tunachokisoma kwenye Genesis(Katika Uumbaji)*
*Uhai ni zawadi*
*Dhumuni la kuishi ni kuabudu*
*Kifo si mwisho wa uhai bali ni Mwanzo wa Maisha mapya*
*Ndio kuna maisha baada ya kifo, Na ni Eternal life*
_Katika kuzielezea hizo nadharia bin adamu akasema ya kwamba Vyote vilivyopo ulimwenguni Chanzo chake ni 'MUNGU'_
*Shida iko hapa*:
*_Katika kumuelezea huyo 'MUNGU', bin adam akajikuta anatengeneza kiumbe cha hovyo kuwahi kuwepo Ulimwenguni_*
_Alijikuta akiweka matamanio yake katika kumuelezea huyo 'MUNGU'_, Yaan labda alitakiwa awe hivi ama awe vile, *Na ndio maama Upo mkanganyiko juu Ya Tabia na hulka ya 'MUNGU' Kila dini inajaribu Kuonyesha 'MUNGU', alitakiwa aweje Kulingana na Mitazamo yao*
*_NIONAVYO BINAFSI_*:
_Ulimwengu unacho chanzo japo hakithibitishiki_
_Dhumuni la maisha ni kutafuta furaha yako_
_Ulimwengu unae kiongozi, Probably anaweza kuwa 'MUNGU', ila kwenye sifa za 'MUNGU' waandishi walikosea kumtafsiri_
_Sina hakika kama kuna maisha baada ya Uhai_
GREEN.
Mara ya ngapi Akhy?endeleeni kukufuru,
Hayo ni maoni ya wanaoamini, Kwa upande wangu nimesema siamini kama kuna maisha baada ya kifo.Kama kufa ni mwanzo wa maisha mapya, na kuzaliwa ni nini?
basi hoja yako ni dhaifu tena sana...tena huwezi kusema ukweli kati ya Mungu na wanadamu na uache kitabu hicho wanachokitumia...Vipi kama siamini katika biblia?