Recent content by Sura Mbovu

  1. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Dstv Tanzania kuhamia Kinondoni karibu benki ya FBME

    Mnahamia uswahilini tena
  2. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa pesa kutoka M-Pesa kwa mazingira ya kutatanisha

    WiZi hutokea hivi 1. Unapgiwa smu unaambiwa umeshnda zawad wanakwambia uongeze salio kisha utume kwenda namba ambazo hazianzii na sifur mfan 6543987654 ili kupata zawad yako na wengi wameibiwa kw njia hii 2. Kuiba kwa kufanya sim swap(re new line) hii hutokea pale mtu anaenda kwa wakala...
  3. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House for sale at BOKO NHC

    Ht kama mkuu. Bei bado cyo rafki kabsaaa
  4. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania 3 Bedroom House for sale at BOKO NHC

    120m??????? Cjui nmesoma vbaya
  5. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kutoka kwa waliowahi kutumia dawa za nguvu za kiume

    Sijui nimalizie hii muvi
  6. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

    Hahahaha :D :D :D :D
  7. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Hili la hisa za vodacom limekaaje?

    Hapana. mpesa inamilikiwa na voda 100% isipokuwa mpawa ni ya CBA Bank ya kenya ndo wameingia ubia nao so voda wapo kama agent tu kwenye hyo mpawa.
  8. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Hili la hisa za vodacom limekaaje?

    Correction ni hisa 560m. Nã sio 520b. Kama awali nlivo type. Kwahyo ukpga hesabu jumla ya hisa mara gharama ya hisa unapata 4.76billion. Na hyo ni .25 ya mtaji wao so ukizungumzia kufilisika kwa hii kampuni ni ndoto. By the way voda wameanza the rest watafuata
  9. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Hili la hisa za vodacom limekaaje?

    Piá kwa taarifa yako tu mtoa Post. Miamala inayofanywa na mpesa ya Vodacom kwa siku hakuna benki yyte inayoweza kuifikia kwa africa mashariki kwa siku. So huu ni mtandao mkubwa ambao suala lá kufirisika utaliskia kwa kuongopewa Tu.
  10. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Hili la hisa za vodacom limekaaje?

    Mboni unatoa taarifa za uongo kuhusu voda???? Aliekwambia wameuza minara nani? aliekwambia imefilisika nani? Tafadhari usiseme kitu kama huna uhakika na hicho kitu. Ipo hivi ni matakwa kisheria kwa kampuni za cmu kuuza hisa zake ili wananchi wawe sehemu ya umiliki hivyo ktendo cha voda...
  11. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Hivi haya maumivu mwisho wake ni lini??

    Duh pole sana asee. Usikae pekeako kaa na washkaj
  12. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa Magreth Kakoko

    Muoe. Kwani umekatazwa
  13. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Lindi Suleiman Mathew apewa dhamana, atoka Gerezani

    Bado m1. Wa kilombero tumalize na kumuaibisha mkulu Kuw yy anaweza siasa tu ila sheria imempga chenga na itaendelea kumpga chenga daima.
  14. Sura Mbovu

    JamiiForums Tanzania Jina la Said Nassor Bagaile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

    Huyu nae ni jipu
Back
Top Bottom