Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

Tuwalinganishe Katibu Mkuu CCM na wa CHADEMA

Ni sawa sawa na kulinganisha kiazi kitamu na kiazi mbatata....
 
Labda dk slaa ndio unaweza kumlinganisha na kinana lkn huyu masinzi m simuelew kabisa hata impact yake kujenga popularity ya chama na yake binafs sijawah kuiona...
Naweza kumlinganisha labda na polepole lkn sio kinana
Nimekuelewa 100%, ingawa wapo watakaoamua kubisha...
 
Mimi ni cdm damu lkn kwa Kinana huyo Mashinji akasome kwanza, Labfa Dk Slaa
 
Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
Ukuta ulikuwa a success?! Or a waste
 
Kinana ni Kiongozi mkubwa na anafahamika Kwa umahiri wake vijiji vyote kila sehemu. Ila huyo mashinji hafahamiki hata hapa kinondoni. Yaani Kuna wafanyakazi wa cdm bado hawamjui. Kinana yuko vizuri kila nyanja kutokana na kuwa kwenye chama chenye sera nzuri
Kutokana na kuwa katika siasa kwa muda mrefu.
 
Yaaani wewe lofa sana unaweza kumlinganisha Dr,tena doctar halali sio akina Bashite hao.
Sasa wewe na mimi nani Lofa original? Kwani aliyeuliza kaulizia u doctor au vitu tofauti? Wapi alipoulizia elimu ya u doctor?
Kichwa maji wewe.
 
alie uliza swali ukweli anaujuwa wewe waweke meza moja mashinji na kinana uwaulize wamefanya nn utajua hakika cdm ili ng'aa kwa nyota ya Lowasa tukiacha unafiki ila ccm imetembelea nguvu ya kinana na kujitumakwake
kuzunguka vijiji vyote kukinadi chama hili ndilo pekee limeifikisha ccm hapa
kuna mtu kasema anapiga picha na mafundi labda niuelewa wake tu kinana sio fundi kujenga kupiga picha na mafundi nikuonyesha tu miladi ya maendeleo iliyo chini ya ilani ya uchaguzi na utekelezaji wake lakini sio kwamba na yeye anajenga mkuu acha ubashite basi
 
.ila sifa moja tu ndo wanafanana ...Wato ni wasaka tonge, lengo la ni kutimiza ndoto zao si za wananchi.
 
Yaani hapo umelinganisha Fuso na Vitz!!!!
Total different!!!!! [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Yaaani wewe lofa sana unaweza kumlinganisha Dr,tena doctar halali sio akina Bashite hao.
Dr. wa siasa Slaa hata sizonje dr lakini tunajionea.. ...Dr. sio kigezo kwenye siasa
 
Mashiji ni zaidi tena zaiiidi mno. Huwezi kumlinganisha na mkimbizi yule. On a CCM na seikali wanavyotetemeshwa na mikakati kabambe ya Dr.Mashinji. UKUTA uligharmu shs ngapi za serikali, Katafunua he.
Katibu si kelele ni mikakati bwana.
Hivi UKUTA ilibuniwa na Mashinji? Yaani wangeacha mtu ikaingia mtaani ndo tungempima vzr Mashinji. Upinzani bila kunyea debe bado hujakomaa
 
Back
Top Bottom