ulaaniwe na ufe usikuUDALALI wa kizamani sana HUU hili gofu tena LIKO Boko sijui et Mil 120 hii ni mill 50 kishuka chiiiiiiiiini sana
ulaaniwe na ufe usikuUDALALI wa kizamani sana HUU hili gofu tena LIKO Boko sijui et Mil 120 hii ni mill 50 kishuka chiiiiiiiiini sana
UDALALI wa kizamani sana HUU hili gofu tena LIKO Boko sijui et Mil 120 hii ni mill 50 kishuka chiiiiiiiiini sana
Sawa DALALIHapa watu tupo serious kufanya biashara. We Kama umeudhiwa sehemu nenda katolee mapovu yako uko uko.
Haina maana kuwa kwa sababu unatumia jina fake basi tukikuhitaji kukuona live tutashindwa.
Acha kudharau biashara za wenzako na wewe utaheshimika
Acha dharau mshauri kama unaweza au unaona bei haifanani...au kaa tuu kimya mkuu.huu uchafu unauza 120M hv watz wanajua maana na thamani za pesa? naona watu tunafanya mambo kama wenda wazimu hv
Yaan hicho kibanda cha mbuzi ndo mnauza mil 120? embu mue na aibu huo ni kama utapeli tuA good house in quite environment with 3 bedrooms, two washrooms, nice location, enough space. Price 120mil Tshs. To view call 0784225000. For more properties www.kitomai.com View attachment 481442
View attachment 481443
Yaan hicho kibanda cha mbuzi ndo mnauza mil 120? embu mue na aibu huo ni kama utapeli tu
Tatizo bei KALI kuliko nyumba yenyewe manake hata mmle ndani kumechakaa sana....kwa hela hiyo ukijenga mwenyewe unapata Nyumba ya maana sanaHuo unaita uchafu wengine tunatamani tuupate. Heri yako mkuu, umeshiba hutuelewi wenye njaa.
Sijakataa muuzaji hajui thaman yake bali,anaeza akawaalishikwa sasa anatafuta mjinga wa kumshika.Hyo hata mjinga hawez kununua hiko kibandaHivi ninyoandika kuna wanabembeleza kununua kwa 110mil na ofa zao zimeshakataliwa.
Muuzaji anakua thamani ya anachokiuza.
Kama nyie kwenu nyumba kama hiyo mnafugia mbuzi haina shida.
Naelewa ila lugha aliotumia ya dharau sana. Unafikiri hivyo hivyo ilivyo ikiwa Upanga/Masaki itauzwa bei gani. Inawezekana bei hio innachangiwa na eneo ilipo.Tatizo bei KALI kuliko nyumba yenyewe manake hata mmle ndani kumechakaa sana....kwa hela hiyo ukijenga mwenyewe unapata Nyumba ya maana sana
Mimi naona kama hiko machakani kabisa ila 120? HapanaNaelewa ila lugha aliotumia ya dharau sana. Unafikiri hivyo hivyo ilivyo ikiwa Upanga/Masaki itauzwa bei gani. Inawezekana bei hio innachangiwa na eneo ilipo.
Hivi ninyoandika kuna wanabembeleza kununua kwa 110mil na ofa zao zimeshakataliwa.
Muuzaji anakua thamani ya anachokiuza.
Kama nyie kwenu nyumba kama hiyo mnafugia mbuzi haina shida.
Linganisha na bei na muonekanao wa hii
View attachment 483624
Sikuwa na nia ya kuchangia uzi huu ila kwa taarifa yako tuna mradi mkubwa wa low house scheme na tunakopesha nyumba hizo kwa millioni 35 tu.
Matapeli wote ni lazima mtafute shughuli nyingine za kufanya. Watanzania wamechoka kunyonywa.
Kwa sababu unafahamu hakuna namna ya ku-verify maelezo yako; hapa unaweza kuongea chochote kuhusu watu kuomba wauziwe hata kwa 115M!!Hivi ninyoandika kuna wanabembeleza kununua kwa 110mil na ofa zao zimeshakataliwa.
Muuzaji anakua thamani ya anachokiuza.
Kama nyie kwenu nyumba kama hiyo mnafugia mbuzi haina shida.
Mi nimeshangaa aisee..mfyuuhuu uchafu unauza 120M hv watz wanajua maana na thamani za pesa? naona watu tunafanya mambo kama wenda wazimu hv