Recent content by SUPERXAVERY

  1. S

    kwa wanandoa tu!

    wadada nanyi mmezidi kuturusha roho na hivyo vivazi vxenu. Yaani ukitoka job mpaka unafika home tayari umesha kwisha kabsaaa! Halaf ukifika home wife nae hana time na wewe, sa ikizidi kwann usitafute faraja kwa kificho, sema noma ukigundulika ndo mambo yanaharibika mbaya mazee.
  2. S

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    nani anayesema pameuzwa? Je umeusoma huo mkataba na kujiridhisha na contents? Aina hii ya taarifa ni udaku. Mbona link iliyowekwa haisemi pameuzwa.
  3. S

    Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

    Nimefurahia mjadala, nimepata kitu hapa.
  4. S

    Pingamizi la Dr Slaa dhidi ya Rose Kamili lakataliwa mahakamani

    Hata kama ungeambiwa ni samaki ungeendelea kuchekelea tu kwa kuwa ni mwenyekiti wako sio?
  5. S

    Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

    We mganga wako nani?????????? Acha Uzushi usio na ushahidi nao!!! Bila shaka we ni mdini wa kutosha!!!! Na ule waraka uliorushwa humu huenda una chembe ya ukweli!!!!
  6. S

    Kura ya kutokuwa na imani na rais kikwete huu ndiyo wakati wake

    Bila hata ya aibu unawanga mchana!!!!!!!!!!!!!!
  7. S

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Niko tayari eneo hilo!!!! ha ha ha
  8. S

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    Do you think you have sound mind? If so you couldn't have replied this!!!!!
  9. S

    Wana jamvi namleta kwenu kamanda Esther Wasira; naomba tumpe ushirikiano

    When musicians became leaders of this nations, we will all be part of it! All singing and dancing. There are currently 187 users browsing this thread. (74 members and 114 guests) all are Musicians except me! ha ha ha haa
  10. S

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Matusi hayatakusaidia kitu, mtoto wa miaka 14 kufanya kitendo alichokifanya katika mazingira yoyote ni ukosefu wa adabu wa imani za watu wengine. Mtoto wa umri huu keshapata mafunzo ya kutosha kutoka kwa viongozi wa kidini na huenda alichokifanya ni matokeo ya mafundisho ya watu wa aina yako.
  11. S

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Na wale wanaopita majumbani kwa watu wakihubiri wanamsaidia nani? mbona nae asijisaidie mwenyewe kuhubiri imani yake. Sio hoja hii Ukweli ni kwamba kitendo kilichofanywa na huyo kijana si cha kiungwana, lakini pia waislamu hawakupaswa kuchukua maamuzi ya kukurupuka kihivyo. Walipaswa kufanya...
  12. S

    Atakayeiponya CCM itaiangamiza Tanzania!!

    Viongozi wachafu na waroho wa madaraka tunawatema kutoka ccm na wengi wamehamia upinzani, hicho ndio kifo chenu wapinzani hususani cdm. Hongera sana kwa kutupokea hiyo mizigoz
  13. S

    Uchaguzi UVCCM vurugu tupu Arusha; Chatanda apigwa, ajificha chini ya meza

    Sina haja ya kuvaa magwanda, after all magamba wote walishatoka ccm na kuhamia cdm. Upo??
  14. S

    Uchaguzi UVCCM vurugu tupu Arusha; Chatanda apigwa, ajificha chini ya meza

    Hizo ni ishara kwamba chama bado imara, na watu wana uchu wa kushika madaraka katika chama.
Back
Top Bottom