yangu ina kasauti ambacho sikaelewi elewi....isije ikawa ni ka shoga.....ntauwa....
mkuu nashukuru kwa kunielewesha vya kutosha ila nasikitika kuwa bado haitaki kurani:A S cry:
inaniambia;
Error: Invalid character
code: 800a408
source: Microsoft VBScript compilation error
1. Open Notepad
2. Type the following line in notepad:
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"I love you"
3. Save file as computer_gender.vbs
4. Run the file.
If you hear a male voice, your pc is a boy
If you hear a female voice, your pc is a girl
Mkuu sijui ninimi mbona zote inanigomea ...inaleta error flani hivi inasema expected end of statment...natumia win7!!
Mkuu NingaR kumbe Computer yako ni kike tena bibi kizee..................nimegundua wapi paliku na shida, me nme copy your text hapo juu, kwenye neno Speak kuna space kati ya S naaani S peak nmelekebisha, sasa mambo poa ila duu hii sauti ka ya bibi kizee vile
Mkuu WAHEED SUDAY kwenye Ubuntu OSx hii kitu hakuna. Ila kwenye MAC OSX kuna Sauti unaweza kubadilisha iwe Computer yako ina Sauti ya Kike au Sauti Ya kiume kwenye Ubuntu ninafikiri hakuna ila sauti ipo lakini trick kama hiyo hapo juu ni kwa ajili ya Windows Xp,7, na 8 tu.mkuu mi ninatumia ubuntu 12.10, msaada please!
Kama hiyo ya juu haifanyikazi Kopi hii ya chiniKu run hii text ndio nafanyaje mkuu?