kwa wanandoa tu!

kwa wanandoa tu!

Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango
 
Hahahah mtawa mwenzangu upo??? Hizi vitu tunaongelea theory ukija kwenye practical ni ishu...aseee
Tena mimi hasa mijitu yenye ndoa ambayo Binti.com akipita inameza mimate hadi yanajaa tumboni wakati ina wake zao nyumbani siipendi kabisaaa. Kama hamridhiki nao mliwachagua wa nini???
 
tehee...tehe.... wakimana mama na bidadas wamejibu kwa hasira! do! hii balaa! la kusikitisha muda si mrefu rafiki yangu wa karibu kaambiwa na mke wa mtu kuwa ana mimba yake achilia mbali huyo mwanamke alishawahi kumwambia nipo kwa mume wangu kwa sababu wewe unaniwezesha!
lakni nililo muhimu jitahidini wanandoa angalau mara moja kwa mwaka muwe mnaenda angalau hotel kwa siku mbili kupasha kiporo na itawasaidia.
kuliko lila siku mazingira yale yale na ukifika unakaribishwa na kesi za watoto , bill ya maji ,umeme, mdogo wako kaja,shemeji yako kafukuzwa shule hana ada, mama anaumwa nataka kwenda achilia mbali unamkuta mwana mke na mikanga iliyofubaa na amenuna bila sababu na mengine mengi japo kwangu kwakweli huwa na jiiba kwa uroho wangu tu na kama vile najiweza japo kwa miaka miwili inaweza kutokea mara moja
 
wadada nanyi mmezidi kuturusha roho na hivyo vivazi vxenu. Yaani ukitoka job mpaka unafika home tayari umesha kwisha kabsaaa! Halaf ukifika home wife nae hana time na wewe, sa ikizidi kwann usitafute faraja kwa kificho, sema noma ukigundulika ndo mambo yanaharibika mbaya mazee.
 
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa

mkuu kweli kabisa mi yamenikuta na mpaka sasa natafuta muafaka wa kudumu.... nimegundua bila resevu ntakufa mapema kwa stresss!!
mi kila aliyeko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 nikimuuliza vipi ikitokea mkiachana na meo utaoa tena wengi wao wanasema hawarudii tena mi nikiwa mmoja wao.
Bora zije ndoa za mikataba, wanaotaka kuingia kwenye ndoa karibuni haya mambo hayafanani lakini ni vyema ukajua ndo siyo lelemama mkifika uzeeni mnamshukuru Mungu
 
hivi kweli hili ni tatizo lakukufanya uuze utu wako uvue suruali yako kidushelele kionekane kwingine ?if u real love your wife and she is not just a wife she is your close frende mna kaa chini unamwita mnaongea kwa utaratibu ,hiyo ni naturally nakumbuka mume wangu alinikanya the same story kuwa mapenzi yamehami akwa mtoto japo ilikuwa kweli fasta nilirudi kwenye mstari japo kwa kulazimisha mindi u mtoto mdogo anahitaji great care than his father na kila mmjaana nafasi yake kwangu n muda wake siwezi mpa mzigo wakati dogo ananyonya anaia kila kitu na wakati wake

1. nimependa hiyo signature yako
2. Kinachoboa ni ile kurudia rudia kila mara kumweleza hayo matatizo.... wakati anajua ni wajibu wake, wengi wanatumia mtoto kama kinga ya kukwepa majukumu ya msingi. sisi wengine mabishano hatujazoea.
 
Jambo la kwanza ni mazoea mabaya,ukishamzoea mpz wako vibaya unamchoka then mtu anatoka nje akidhan ni solution kumbe ni matatizo zaid anabak kubadilisha kila kukicha.
Pili wanandoa wengi hawataki kuelezana ukwel kwa yale wayapendayo na wasiyoyapenda,vilevile hawatak kuchallange the challenge that challenging them instead of they escape,hapo ndo inakuja tabia ya kukomoana.
Tatu watu hawana upendo wa kweli bali hutamaniana hasa ktk mambo yaonekanayo,kwan upendo wa kweli huvumulia,haujivuni,haukos kuwa na adabu,hautafut mambo yake,hauhusudu,hufadhili,haufurahii udhalimu bali hufurahia pamoja na kwel,hauhesabu mabaya,huamini yote,hustahimil yote,hutamain yote na haupungui neno wkat wwt.
Wanandoa wengi hawana hofu ya Mungu,ukimuogopa Mungu utaogopa dhambi,na pia kumuomba Mungu ailinde ndoa yenu kwan wakat mwngine ni shetan tu unakuta vitabia vichafu vinaibuka from no where,mtu anabadilika ghafla wakat alikuwa na tabia nzur jua hapo shetan ameingilia ndoa yako tayar.
Nne kila mtu asimame ktk zamu yake,mwanaume ajue wajibu wake kwa mkewe na mkewe ajue wajibu wake kwa mumewe na inapotokea mmoja hajui bas ni busara itumike ktk kuelimishana na si kugombana na kuchukua maamuz yasiyo na busara.pia wanandoa wanatakiwa wathaminiane kila mmja na mwenzake na si mmoja kujiona ana haki zaid ya mwenzake,na kujua kwmb usichopenda ww kutendewa msimtendee mwenzako.
 
Mtasema mengi...na theory kibao lakini nature ina baki pale pale u cant fight it.
mke mmoja mme mmoja mpaka kifo kiwatenganishe haitekelezeki.
 
Unataka kuniambia waislamu wenye wake 3 hawawacheat? Mbona wanatutongoza kila siku? Tabia mbaya tu iloyojengwa na attitude mbaya. Mbona nasi hamturidhishi, ndo maana tunatoka siku hizi. Nani wa kuachwa ndani anavunda?

Sasa baba, wewe umerushwa roho huko na wadada wa mjini hadi ukatamani kuninihii. Mkeo nae amerushwa roho na nani? Umeshajaribu kumrusha roho? Hata flirt nae basi wakati unafeast huko mjini kwa macho. Manake wewe unarushika roho mtaani unafika home mwenzio hana habari na wewe umeshasimama, unategemea aruke? Acheni uvivu! Siku ukigundua mkeo nae anafarijiwa kwa kificho usizimie, ndo style ya kisasa baba
wadada nanyi mmezidi kuturusha roho na hivyo vivazi vxenu. Yaani ukitoka job mpaka unafika home tayari umesha kwisha kabsaaa! Halaf ukifika home wife nae hana time na wewe, sa ikizidi kwann usitafute faraja kwa kificho, sema noma ukigundulika ndo mambo yanaharibika mbaya mazee.
 
hivi kweli hili ni tatizo lakukufanya uuze utu wako uvue suruali yako kidushelele kionekane kwingine ?if u real love your wife and she is not just a wife she is your close frende mna kaa chini unamwita mnaongea kwa utaratibu ,hiyo ni naturally nakumbuka mume wangu alinikanya the same story kuwa mapenzi yamehami akwa mtoto japo ilikuwa kweli fasta nilirudi kwenye mstari japo kwa kulazimisha mindi u mtoto mdogo anahitaji great care than his father na kila mmjaana nafasi yake kwangu n muda wake siwezi mpa mzigo wakati dogo ananyonya anaia kila kitu na wakati wake

sawa tutajitahid kubadilika
na kuelekezana
 
mkuu kweli kabisa mi yamenikuta na mpaka sasa natafuta muafaka wa kudumu.... Nimegundua bila resevu ntakufa mapema kwa stresss!!
Mi kila aliyeko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 nikimuuliza vipi ikitokea mkiachana na meo utaoa tena wengi wao wanasema hawarudii tena mi nikiwa mmoja wao.
Bora zije ndoa za mikataba, wanaotaka kuingia kwenye ndoa karibuni haya mambo hayafanani lakini ni vyema ukajua ndo siyo lelemama mkifika uzeeni mnamshukuru mungu

sawa sawa mkuu
wake zetu tunawapenda sana
na hatufikirii kuwasaliti kwa kudhamiria
ni majaribu kama hayo tuh
 
Tatizo wengi hulenga katika kuolewa na si katika ndoa...Hii inapelekea mtu kishaolewa baasi anajua keshamaliza kila kitu hata yale mambo muhimu katika ndoa husahau...
Tatizo lingine linalonipelekea ku cheat mie huwa ni kununiwa nuniwa...sio siri jamani nachukia wife anayenunanuna bila mpango

YAH HATA MIMI PIA MKUU
UTAKUTA BILA SABABU ZA MSINGI MTU ANANUNA NUNA TUH
AH...!:doh::doh:
 
si kweli haya ni maneno ya wanaume kujustify matendo yao.
Tuliambiwa ndoa ni kuvumiliana kufundishana na kukamilishana mnatakiwa mtambue kuwa mwanamke anapojifungua pia nae hutamani na wewe uwepo kumfariji na kumsaidia kazi ya ulezi ni ngumu na inahitaji busara kuendana nayo. Sasa ukienda nje unakuwa umemsaidia nini au umeanza kuongeza matatizo hata huko nje nae akipata mtoto anaweza akawa hivyohivyo. Cha msingi ni kumuelekeza mkeo kuwa amejisahau na anatakiwa kukukumbuka.anatakiwa kuwa msafi anatakiwa kuwa hivi na vile.

ni kweli iron lady
kwangu mimi hii ishatokea sana,na nishaongea nae sana
atleast now mambo yanaenda vizuri

sasa si tunaambiana hali halisi?
 
kutoka nje ya ndoa ni tabia tu,kama zilivyo kuvuta sigara na pombe kupita kiasi.kujirekebisha is the only solution.na kuwa na muda na mwenzi wako,jaribu kumpa muda zaidi pamoja na wewe,mzunguke wote pamoja,mueleweshane,,,mambo mswano,mtasonga.
 
Unataka kuniambia waislamu wenye wake 3 hawawacheat? Mbona wanatutongoza kila siku? Tabia mbaya tu iloyojengwa na attitude mbaya. Mbona nasi hamturidhishi, ndo maana tunatoka siku hizi. Nani wa kuachwa ndani anavunda?
mbona unaziweka mbavu zangu rehani kwa kucheka...... kwani huwa mnavunda?? mbona hamsemi kama hatuwaridhishi... mi ni muwazi kama haniridhishi nasema na huwa nasema awe free kama kuna kitu anaona hakiko sawa kama husemi unategemea mimi niote?? kuepusha shari ni bora kuwa muwazi hasa kwenye mapenzi tutapunguza kwenda kuogonga njee mwishowe tunawekwa kwenye chupa.
 
Back
Top Bottom