Recent content by SuperSub

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Member wa JF mpaka Saa 7 hii Kasoro hujalala ukiitwa Mchawi au Mpiga Chabo au Kibaka utakataa?

    Mbona mimi saa tisa kasoro huku India nipo macho nawachabo tuu
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

    Mjanja ni mimi tuu siku ile nakwea pipa saa kumi na moja jion JKNIA nili upload mbegu kwa demu wangu saivi tuna mtoto..Hizi habari za kuacha demu wako mtupu bongo wewe unaenda nje ni kilio..
  3. S

    JamiiForums Tanzania Moyo wa Yesu unakaribia kupasuka kwa jinsi tunavyomtesa siku hizi

    Kuna baadhi ya mambo yanawahusu wakatoliki..Angeacha hewani bila kuwataja ingeonekana hayuko sawa..kama vile kuwalazimisha watu imani fulani wakati sio waamini.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri Sumatra wamulike misemo kwenye bajaji na dalala

    Moja niliona imeandikwa IKIUMA SEMA
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwenye mimba kupewa Dawa zote hizi?

    Mbona mimi wangu Follic acid ametumia miezi yote mpaka kujifunguaa? Au kila hospital ina maelekezo yake..
  6. S

    JamiiForums Tanzania Dar joto jamani khaaa

    Mbona hilo joto dogo..huku India hiyo ni baridi.. Huku tunachezea 40 to 50 Centigrade
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ahadi za uongo katika harusi zinaboa na kuvunja moyo, (tuwe wakweli)

    Mimi mzee wangu alinipa kamba ya ng'ombe akaniambia nitakuta n'gombe nyumbani mpaka leo hakuna cha n'gombe wala nini..nimebakia na kamba
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wadada, tissue na toilet paper hazitoi uchafu! Tumieni maji mkienda Msalani

    Mimi natumia maji then natumia toilet paper kufuta hayo maji matakoni maana ukiacha hayo maji matokon utapata fungus
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa deo kisandu na Nabii Tito tukukate hapa kwa huzuni

    Bring back our Deo..
  10. S

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Special Thread!

    Umesema vyemaa...Asante kibarua mzoefu
  11. S

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Special Thread!

    Unamaanisha nini mkuu?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Special Thread!

    Karibu sana tubadilishane uzoefu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Civil Engineering Special Thread!

    Sawa mkuu
Back
Top Bottom