Dar joto jamani khaaa

Dar joto jamani khaaa

Dar es Salaam

Tuesday

20th Feb 2018

partly_cloudy_and_rain.png


Min 24°C

Max 32°C

Wednesday

21st Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 25°C

Max 32°C

Thursday

22nd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 24°C

Max 33°C

Friday

23rd Feb 2018

partly_cloudy_and_sunny_periods.png


Min 26°C

Max 33°C
Sababu kubwa ni Dunia kulizunguka jua ambapo lipo Tropic ya Capricorn na linakaribia kupita Equator ambapo sisi tupo karibu sana na mstari huo wa Equator hivyo joto lazima lizidi
 
Kipindi hiki kidume ukirudia boxer we basi uchafu ni asili yako
 
Kwa kweli kuna joto..nipo muda mrefu hapa Dar lakini this time kuna utofauti mkubwa sana.
 
Eti hapo mwanaume wa dar kaandika thread kamaliza!

Nacheka kwa dharauu
 
Mbona hilo joto dogo..huku India hiyo ni baridi..
Huku tunachezea 40 to 50 Centigrade
 
Huku kwetu kama imepimwa vile, sio joto sio baridi iko center, wakati flani inahasisha wakati mwingine inakwamisha
 
Back
Top Bottom