Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Hawana kazi za kufanya. Watalshugulikia fastaSUMATRA walivyo na weledi na usikivu kwa raia wanaweza kuanza kideal nao kweli
Hawana kazi za kufanya. Watalshugulikia fastaSUMATRA walivyo na weledi na usikivu kwa raia wanaweza kuanza kideal nao kweli
Hatubishinani anabisha kuwa ndoto nyingi za waTz zimezimwa na NECTA??
Hahahaha, the same to meSiku moja nilikuwa barabaran likanipita fusso limeandikwa" MWISHO WA USHAROBARO MAJUKUMU"
Nilicheka sana maana nilikumbuka maisha nikiwa sijaoa halafu pamoja na nashughuli zangu baba alikuwa anadiliki kuniongezea pesa pia.
Nilikuwa nafanya starehe nitakavyo hata geto nilikuwa silali yaan nilikuwa nabadili gest tu. Lakn ikafika wakat wake ambao hata kuichenji elf 10 ikawa shida. Sasa hivi mademu Nawapita kama siwaoni hata kuwatamani hakupo tena.
Naweza kuwataman mpaka niangalie kama kuna hela ambayo ipo ipo tu nayo wakat mwingne naona bora nikatandike bia tu..
Maisha ni elimu tosha
😀😀😀😀😀😀Kuna moja ya gari la maji machafu imeandikwa MAVI YENU AJIRA KWANGU
hakika!nani anabisha kuwa ndoto nyingi za waTz zimezimwa na NECTA??
hahahahahahahahaahaha:
Niliona imeandikwa: TATIZO SIO SHETANI WEE TOA ZAKA
TayariSUMATRA walivyo na weledi na usikivu kwa raia wanaweza kuanza kideal nao kweli
Dah hawa jamaa sijui hawana cha kufanyaTayari