Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

Mahusiano na maisha ya Ughaibuni

Kuna jamaa analia kaoa mzungu kumbe mzungu mwnyw ni msagaji anaishi kwa kupiga nyeto mpk anajuta miaka karibia hamsini hana mtoto ana stress za kufa mtu mzungu kambania hataki kuzaaa

Tulieni na sie tu hata km hatuna kitu wajameni
 
Mjanja ni mimi tuu siku ile nakwea pipa saa kumi na moja jion JKNIA nili upload mbegu kwa demu wangu saivi tuna mtoto..Hizi habari za kuacha demu wako mtupu bongo wewe unaenda nje ni kilio..
 
Kuna jamaa analia kaoa mzungu kumbe mzungu mwnyw ni msagaji anaishi kwa kupiga nyeto mpk anajuta miaka karibia hamsini hana mtoto ana stress za kufa mtu mzungu kambania hataki kuzaaa

Tulieni na sie tu hata km hatuna kitu wajameni
Mwanamke wa kiafrica akikuheshim
na kujiheshimu tu n mke tyar
 
Mahusiano ya mbali n stress
Sana hasa Kwa unaempenda
 
Kabisa sie ndo wanawake Mungu aloagiza muwe nao huko kwingine mnajihangaisha tu
Ttz lenu Sasa wengi wenu
Hamjiheshimu na hamheshimu
Yule ambae anataka kua na ww

Na ndo maana mnaona tunazd
Kuoa tu nje ya bongo maana
Mtu anataka mwanamke
Mwenye kujitambua
 
Ttz lenu Sasa wengi wenu
Hamjiheshimu na hamheshimu
Yule ambae anataka kua na ww

Na ndo maana mnaona tunazd
Kuoa tu nje ya bongo maana
Mtu anataka mwanamke
Mwenye kujitambua
Tupo tunaojitambua nyie mnahangaika na instagram wanawake wanaojielewa hawako huko mkuu
 
Tupo tunaojitambua nyie mnahangaika na instagram wanawake wanaojielewa hawako huko mkuu
Nje ya mtandao n kweli mpo
Ila n wachache sana wanao tambua

Hilo Kat ya 10 unapata mmoja
Tu au wawili Sasa hao 8
Wote akili zao n moja
 
Hiyo ni kweli chid support ni lazima pale unapoachana na mke au mpenzi hiyo ndio ilimkimbiza le mutuz akirudi akifika airport lazima apokokelewe na pingu moja kwa moja jela
hahaaa...Tanzania sihami...daahh bongo bwana
 
Back
Top Bottom