Recent content by superstar1

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mshtuko kabla ya kulala

  2. S

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Tanzania na takwimu za wakuu wa Wilaya, ndio maana serikali huyafungia

    Hata mimi nimeyasoma nikashangaa sana. Nadhani inasababishwa na utitiri wa vyuo vya uandishi wa habari. Vingi vitakuwa havina viwango na waandishi wenyewe wanataka sifa waonekane kuwa walikuwa wa kwanza kupost habari flani hata kama amezipata source isiyo na uhakika.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kisarawe ni "Mtoto" wa Rais Magufuli

    Aisee tafadhali, hayo mawazo sio ya kifipa! Wafipa tupo tumetulia hapa.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mzee Majuto atangaza rasmi kuacha kuigiza, sasa kumrudia Mungu wake

    Hivi kwani kuigiza ni dhambi mpaka mtu unaacha halafu unamrudia Mungu?/
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa uchawi unahusika?

    Okoka tu!!! Kinachokusumbua ni hofu na wao wanatumia hofu yako.
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu za kwanini siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Mmmh! Nadhani wako tofauti. Mimi niliyenaye hataki kabisa nimsaidie hata kulea mwanae. Tulipoanza mahusiano alimuhamishia mwanae kwa dadake, na hata inapojitajika kitu shuleni kwa mtoto, mfano ada, hataki nimsaidie kulipa. Sasa mnanichanganya mbona? Au ananivuta ili nisikimbie? Majuzi mtoto...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jinsi hii Wanawake shughuli mnayo kulinda ndoa zenu...???

    Hiyo mitako iko hovyo sana. Akivua huyo haudindishi tena.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Binti wa kazi wanne wapo Karatu

    Nipigie tafadhali 0766789732.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Utasikia "Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka chanzo cha kuaminika, kuna panya road ameonekana kitunda ameshika kitu chenye ncha kali "
  10. S

    JamiiForums Tanzania Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Nampenda sana yule mzee, anapenda TV kishenzi. Anaita press hata kukiwa na tetesi za kibaka kuonekana kitunda ameshika kitu chenye ncha kali!!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?

    Pale kwenye picha ya kuchanganya udongo kuashiria muungano, baba wa taifa alishika udongo peke yake. Mkono mmoja alishika udongo wa Zanzibar na mkono mwingine akashika wa Tanganyika halafu akauchanganya. (Picha inaonyesha). Karume amesimama pembeni anatabasam tu. Kwanini wa zanzibar hakuumwaga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ada elekezi shule binafsi tayari

    Una point ila kiswahili sahihi ni malazi sio maradhi.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo atoa ripoti ya umeme Disemba 21, 2015

    Safi sana Muongo!!!
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    Ngoja nimchunguze mama Ngina, asije kuwa anapiga cha Arusha. Amebadilika sana siku hizi!!!
Back
Top Bottom