Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
Hivi kwanini masista duu wa mjini wamekua wala bangi sana?tena wasomi?tena they are proud?nini chanzo ya yote haya?
 
Wanataka kwenda na wakati ila bahati mbaya wakati unakwenda nao
 
Toka zamani wanavuta bangi
ila ilikuwa kwa siri sana
siku hizi inakuwa open zaidi kama fashion..
 
nimeshangaa juzi nilikuwa naosha gari mahali, nikaona altereza imepaki mahali kuchungulia nikaona mtoto ameweka mguu juu ya stelingi, nikasogea kidogo loooooh kumbe mtoto alikuwa ananyonya mmmea isee yan huwezi amini ukimtizama looooh,ndio maana siku hizi wanasema wanaume hawawafikishi kileleni maana mtu amekula vitu vyake amekolea akikupa papuchi anaona kama unamkuna tu
 
Toka zamani wanavuta bangi
ila ilikuwa kwa siri sana
siku hizi inakuwa open zaidi kama fashion..
Mkuu mi ni mvutaji toka zamani,ila kwa now naona masista duu wengi wameingia huku tena wengine washakua watu wazima,ila japo wanatutumia kama sisi kuwapelekea wao hawakai maskani
 
nimeshangaa juzi nilikuwa naosha gari mahali, nikaona altereza imepaki mahali kuchungulia nikaona mtoto ameweka mguu juu ya stelingi, nikasogea kidogo loooooh kumbe mtoto alikuwa ananyonya mmmea isee yan huwezi amini ukimtizama looooh,ndio maana siku hizi wanasema wanaume hawawafikishi kileleni maana mtu amekula vitu vyake amekolea akikupa papuchi anaona kama unamkuna tu

Yaani tena wazurii..
 
Jamani mnatuonea.......uongo tu.....
 
Yani madada wavuta bangi hawafikagi kileleni mapema ,,,na siku hizi ni wengi kweli wanaovuta banhi unaweza kukuta hata mke au demu wako anavuta bangi
 
mkivuta nyie sawa tukivuta sio ooohhh tunachelewa kilele cjuij mfyuuuuuj mmekuwa dhaifu na michipsi yenu hyo, kukaa masaa yote na remote no mazoezi ili msingizie bangi eeeehh
 
Hivi kwanini masista duu wa mjini wamekua wala bangi sana?tena wasomi?tena they are proud?nini chanzo ya yote haya?

Kukutana na hivi vijogoo vya dot com, unahitaji kichwa kuwa chepeeesiiii. Nadhani ndo maana. Kila mwanaume anayemkaribisha soda tu, anataka malipo ya ngono. Sasa kwa siku utaangushwa chini na wangapi?
 
Ngoja nimchunguze mama Ngina, asije kuwa anapiga cha Arusha. Amebadilika sana siku hizi!!!
 
Yani madada wavuta bangi hawafikagi kileleni mapema ,,,na siku hizi ni wengi kweli wanaovuta banhi unaweza kukuta hata mke au demu wako anavuta bangi

Bangi ni mada nyingine na kufika kileleni ni mada nyingine tofauti kabisa
 
Ni watoto wa matajiri sana na chanzo ni wazazi kukwepa majukumu ktk malezi ya wana. Embu fkr mtoto miaka mi4 anampeleka borng school nani akamsaidie kulea huko? mtoto anaenda anakutana na aliyeshndkana kwao unadhani wakiwa huko wanafunzana nini? Mwenye kuhtaji cha arusha yenye mpk mbegu au iliyochambuliwa,jike ama dume azuke mitaa ya visiwani kule ilboru ama ngaraa apate cha ukweli Sean paul mwenyewe kaikubali kasema jamaika wanavuta msicha kumbe!
 
mkivuta nyie sawa tukivuta sio ooohhh tunachelewa kilele cjuij mfyuuuuuj mmekuwa dhaifu na michipsi yenu hyo, kukaa masaa yote na remote no mazoezi ili msingizie bangi eeeehh

Njoo tarimee hatuli chips wala mihogo ya koko beach hap ugali wa mtama tuu dadek utaimba pambio:D
 
Back
Top Bottom