Recent content by SUPEREGO

  1. S

    Nimeamua kuachana na mchumba, Ila atalipa yeye na huyo aliyemdanganya, jasho langu halitaenda bure

    Usimlaumu huyo mwanaume, mlaumu mpenz wako wa Zaman Maana apo Co wako Tena
  2. S

    Today is my graduation ceremony

    Zawadi ni elimu yako uliyoipata, washukuru wadau wako, bodi ya mkopo na hongera kwa kumaliza salama,
  3. S

    Kauli za waliokuwa viongozi wa upinzani waliohamia CCM

    Wanyang'anywe madaraka alafu tuwaone kama kwel ni wazalendo
  4. S

    Kumbe Katambi kwenye kampeni huko Tanga aliwadanganya mama yake anaumwa

    Tanzania wazalendo wamebaki wachache Sana na hatupewi nafasi, weng waliopo wanajinufaisha tu Co kusaidia wananchi wao
  5. S

    Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

    Najua unatania tu,, huwez kukamatwa kirahis ivi Huo mchezo wengi tunaujua na. Huwa tunamalizana nao kimya kimya tu ww ulianzaje kutuma pesa kwa mtu Kama huyo
  6. S

    Rais Magufuli amteua Prof. Kitila A. Mkumbo kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji

    Ha haa haa,, amewaachia Akina B, f skiner,, ndo ivo maisha yanabadirika Kila kuchapo,, Kila sekunde iendayo,, Leo kwake kesho kwako na kwangu
  7. S

    RC Paul Makonda afika Bungeni kuhojiwa na Kamati ya Maadili. Taarifa itasomwa bungeni...

    Hili litaisha tu na litapotea Kama moshi,,
  8. S

    Maadui wa Paul Makonda watofautiana

    Ukweli unapindishwa,, nani atamaliza huu mzozo Kama co mtuhumiwa au Serikal kuu??
Back
Top Bottom